Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha kuwashikilia na kuendelea kuwahoji watu wawili ambao ni Diva Gissele Malinzi (36) na Jenifer Jovin Bilikwija (25) wakazi wa Dar es salaam kwa kosa la kukusanya pesa kwa kutumia akaunti zao binafsi kinyume na kanuni na sheria zinazohusiana na majanga
Watu hao wawili wanatuhumiwa kufanya kosa hilo wakati wa tukio la kuporomoka kwa jengo Kariakoo Dar es salaam




