Monday, March 23, 2026
spot_img
HomeHabariDk. Samia: Tunatumia 5% ya GDP kupambana na mabadiliko ya tabianchi

Dk. Samia: Tunatumia 5% ya GDP kupambana na mabadiliko ya tabianchi

“Masuala haya ya mabadiliko ya tabianchi yana gharama kubwa kwenye nchi zetu. Kwa mfano Tanzania sisi tunatumia asilimia nne mpaka tano ya GDP yetu kwenye masuala ya kupambana na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

https://youtu.be/OK9iYUjeWbc
RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
NMB Tanzania

Most Popular

Recent Comments