Muhimbili yapokea msaada wa Darubini ya upasuaji kutoka Interplast Germany
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) hivi karibuni imepokea msaada wa darubini ya kisasa ya upasuaji (surgical microscope) kutoka Interplast Germany itakayosaidia katika kufanya upasuaji mgumu unaohusisha mishipa ya damu, taratibu za urekebishaji wa uso na ngozi, pamoja na mfumo wa tezi za kinga. Kwa mujibu wa Kiongozi wa Mipango kutoka Interplast Prof. Juergen Dolderer, ameeleza […]
Muhimbili yapokea msaada wa Darubini ya upasuaji kutoka Interplast Germany Read More »