Chuo cha MUHAS kuanza mafunzo maalum kwa wakufunzi wa Gym na wasimamizi wa kumbi za mazoezi
CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kinatarajia kuanza kutoa mafunzo maalum ya kitaalamu kwa wakufunzi wa mazoezi ya viungo (gym instructors) na wasimamizi wa kumbi za mazoezi (fitness managers),ili kuhakikisha wanakuwa na uwezo wa kuwahudumia wateja wanaopelekwa kufanya mazoezi kwa sababu za kitabibu. Akizungumza leo Mei21,2025 wakati wa uzinduzi wa kambi ya […]










