Afya

Tanzania yajipanga kutokomeza polio

TANZANIA imeweka mikakati madhubuti ya kuzuia na kutokomeza kabisa ugonjwa wa polio, kwa kuhakikisha hakuna visa vipya vitakavyoingia nchini. Mikakati hiyo imewekwa  na nchi kama njia ya kukabiliana na ugonjwa huo ambao hivi karibuni, umeripotiwa katika nchi za Kenya, Uganda, Msumbiji na Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC). Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Kinga kutoka Wizara

Tanzania yajipanga kutokomeza polio Read More »

Waziri Mhagama ampongeza Haroon kwa uwekezaji wa hospitali ya Shifaa

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani cha Shifaa na kuahidi kuwa serikali itaendelea kuongeza bajeti ya dawa za saratani kila mwaka kutokana na ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani. Waziri Mhagama aliyasema hayo Ijumaa jioni jijini Dar es Salaam wakati akizindua kituo hicho kilichoko kwenye

Waziri Mhagama ampongeza Haroon kwa uwekezaji wa hospitali ya Shifaa Read More »

Dk. Kisenge: Ulaji wanga saa chache kabla ya kulala usiku hatari

ULAJI wa vyakula vyenye wanga hasa saa chache kabla ya mtu kwenda kulala, kunatajwa kuwa hatari kwa afya, hususan Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs), ukiwamo ugonjwa wa moyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Peter Kisenge, ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Siku

Dk. Kisenge: Ulaji wanga saa chache kabla ya kulala usiku hatari Read More »

JKCI lulu utalii tiba Afrika,  madaktari wake waitwa Zambia kufanya upasuaji wa moyo

Uwekezaji mkubwa uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye sekta ya afya umeendelea kuipaisha Tanzania ambapo sasa madakati bingwa wanne wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete JKCI wako nchini Zambia wakiendelea kufanya upasuaji wa moyo. Timu hiyo ya madakari hao itashirikiana na wenzao wa Hospitali ya Taifa ya Moyo ya Zambia na watafanyakazi upasuaji

JKCI lulu utalii tiba Afrika,  madaktari wake waitwa Zambia kufanya upasuaji wa moyo Read More »