Afya

Dk. Rutachunzibwa: Mtanzania wa kwanza kutibu saratani bila upasuaji

Dk. Fredy Rutachunzibwa wa Hospitali ya Kairuki ameweka historia kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kufuzu mafunzo ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya HIFU (High-Intensity Focused Ultrasound). Teknolojia hiyo inatoa tiba isiyo ya upasuaji kwa kutumia mawimbi ya sauti yenye nguvu kuteketeza seli za saratani kwa usahihi. Akizungumza leo Dk. Rutachunzibwa ameeleza kuwa […]

Dk. Rutachunzibwa: Mtanzania wa kwanza kutibu saratani bila upasuaji Read More »

Muhimbili yarejesha tabasamu kwa mtoto Maliki aliyekatwa koo na dada wa kazi

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH), imerejesha tabasamu kwa mtoto Maliki Hashimu (6), mkazi wa Goba, Dar es Salaam, aliyekatwa koo na anayedaiwa kuwa ni dada wa kazi ‘hausigeli’. Maliki, ametibiwa kwa miezi minne MNH,  kwa matibabu yaligharimu Sh. milioni 15 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa msaada wa Rais Samia Suluhu Hassan.  Maliki, alipoteza

Muhimbili yarejesha tabasamu kwa mtoto Maliki aliyekatwa koo na dada wa kazi Read More »

Tanzania yajipanga kutokomeza polio

TANZANIA imeweka mikakati madhubuti ya kuzuia na kutokomeza kabisa ugonjwa wa polio, kwa kuhakikisha hakuna visa vipya vitakavyoingia nchini. Mikakati hiyo imewekwa  na nchi kama njia ya kukabiliana na ugonjwa huo ambao hivi karibuni, umeripotiwa katika nchi za Kenya, Uganda, Msumbiji na Jamhuri ya Kidemokrasia  ya Congo (DRC). Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Kinga kutoka Wizara

Tanzania yajipanga kutokomeza polio Read More »

Waziri Mhagama ampongeza Haroon kwa uwekezaji wa hospitali ya Shifaa

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani cha Shifaa na kuahidi kuwa serikali itaendelea kuongeza bajeti ya dawa za saratani kila mwaka kutokana na ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani. Waziri Mhagama aliyasema hayo Ijumaa jioni jijini Dar es Salaam wakati akizindua kituo hicho kilichoko kwenye

Waziri Mhagama ampongeza Haroon kwa uwekezaji wa hospitali ya Shifaa Read More »