Afya

Dkt. Frank Masao asema wanaohisi wanyonge kijamii rahisi kujitoa uhai

WATU wenye wasiwasi, wanaojitenga, waraibu wa vilevi na wanaojihisi wanyonge katika jamii kama vile wakimbizi ni miongoni mwa wanaotajwa kuwa hatarini katika kutoa uhai. Bingwa Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Afya ya Akili kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)-Mloganzila, Dk. Frank Masao, aliyasema hayo Septemba 10, mwaka huu, ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya Uzuiaji […]

Dkt. Frank Masao asema wanaohisi wanyonge kijamii rahisi kujitoa uhai Read More »

Binti wa miaka 16, Arjun Mittal, aiomba serikali kuondoa VAT kwenye taulo za kike

SERIKALI imeombwa kuondoa Kodi ya ongezeko la thamani (VAT) ya asilimia18, kwenye Taulo za kike ili kuwezesha bidhaa hiyo kupatikana kwa bei rahisi na kuwafikia walengwa kwa wakati. Ombi hilo limetolewa hivi karibuni na Mwanafunzi Mtanzania anayesoma Dubai katika Falme za Kiarabu, Arjun Kaur Mittal kwa Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson alipotembelea ofisini kwake.

Binti wa miaka 16, Arjun Mittal, aiomba serikali kuondoa VAT kwenye taulo za kike Read More »

Mchengerwa: Tanzania imefanikiwa kupunguza vifo vya Mama na Mtoto

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mohamed Mchengerwa amesema Tanzania imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kupunguza kiwango cha vifo vya Wajawazito vinavyotokana na matatizo ya uzazi kutoka wastani wa Vifo 556 kwa kila vizazi hai 100,000 (Mwaka 2015/2016) hadi kufikia wastani wa vifo 104 kwa kila vizazi hai 100,000 (Mwaka 2022). Amesema vifo vya

Mchengerwa: Tanzania imefanikiwa kupunguza vifo vya Mama na Mtoto Read More »

Kampuni ya Sukari Kilombero yaboresha elimu ya wasichana kwa kuchangia taulo za kike Kilombero

Katika jitihada kubwa za kuboresha elimu ya wasichana na kuongeza uelewa kuhusu hedhi salama, Kampuni ya Sukari Kilombero imetoa zaidi ya taulo za kike 2,400 kwa wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Cane Growers iliyopo wilayani Kilombero. Jitihada hii inaonyesha ahadi ya Kampuni hiyo katika kukabiliana na tatizo la hedhi salama na kusaidia jamii

Kampuni ya Sukari Kilombero yaboresha elimu ya wasichana kwa kuchangia taulo za kike Kilombero Read More »

Raia wa China aliyejifungua mapacha Hospitali ya Regency ashukuru huduma nzuri

RAIA wa China, Liya Zhang (31), ambaye amejifungua watoto mapacha watatu wa kiume katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es Salaam ameshukuru kwa huduma nzuri alizopata. Raia huyo alijifungua watoto hao siku ya Jumapili usiku hospitalini hapo na mpaka sasa anaendelea vizuri yeye na watoto wake hao watatu. Akizungumza hospitalini hapo, Liya alisema awali

Raia wa China aliyejifungua mapacha Hospitali ya Regency ashukuru huduma nzuri Read More »

Wizara ya Afya hatua za kudhibiti Mpox

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kujidhatiti katika kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa kutoa vielelezo vyenye jumbe zenye maudhui mbalimbali ya uelimishaji kuhusu ugonjwa huo katika mipaka mbalimbali ya nchi na viwanja vya ndege. Hatua hiyo imeanza kuchukuliwa ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo aliyotoa Waziri wa Afya Jenista Mhagama alipotembelea

Wizara ya Afya hatua za kudhibiti Mpox Read More »