Mtoto wa siku tatu arekebishwa mfumo wa moyo
TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imemfanyia upasuaji mtoto mchanga wa siku tatu, ambaye mishipa yake ya moyo haikuwa katika mpangilio sahihi. Upasuaji huo umefanyika katika kambi maalumu ikifanywa na wataalamu wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa JKCI na wenzao wa kituo cha Mfalme Salman cha Misaada ya Kibinadamu kilichopo nchini Saudi Arabia. […]
Mtoto wa siku tatu arekebishwa mfumo wa moyo Read More »









