Amos Makalla: Tumevuna tulichopanda, tuache kulalamika

“Chama Cha Mapinduzi pamoja na ushindi huu naomba iingie katika rekodi kwamba na sisi kuna mitaa, vijiji na vitongoji tunavyo kwa miaka yote lakini tumeshindwa. Hivyo hivyo vichache lakini vipo vya CCM ambavyo tumeshindwa na tumekuwa katika uongozi kwa muda mrefu.

Kwa hiyo sio sawa kulalamika. Umevuna hicho ulichopanda. Lakini pia hata CCM tungetamani sana vile ambavyo tumevipoteza navyo view vya kwetu,”Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *