Admin

Serikali yazindua Mpango wa Kitaifa Kuimarisha Haki na Usalama wa Wanawake

📌 Asema Serikali itaendelea kuhakikisha kuwa wanapata haki na heshima wnayostahili 📌Azindua Mpango kazi wa Kitaifa wa Ajenda ya Wanawake, Amani na Usalama 📌 Unalenga kushirikisha wanawake kikamilifu katika masuala ya Amani na Usalama 📌 Ataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kutokomeza dalili zinazoweza kuleta uvunjifu wa amani na usalama katika jamii 📌 Asema kuzinduliwa […]

Serikali yazindua Mpango wa Kitaifa Kuimarisha Haki na Usalama wa Wanawake Read More »

Namungo na Pamba Jiji zasafisha vikosi

Namungo FC imeweka rekodi ya kuachana na wachezaji 13 kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu, akiwemo Antony Mlingo aliyeuzwa Simba na Salehe Karabaka kurejea Yanga. Wengine ni Beno Kalolanya, Emmanuel Asante, Erasto Nyoni, Meddie Kagere, Erick Malongi, Derick Mukombozi, Issa Abushehe, Joshua Ibrahim, Erick Kapaito, Emmanuel Charles na Anderson Solomon. Klabu hiyo tayari imesajili Heritier

Namungo na Pamba Jiji zasafisha vikosi Read More »

Nishati safi ya kupikia suluhu kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Watanzania wameendelea kuhamasishwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi. Wito huo umetolewa Agosti 18, 2025 Mkoani Rukwa na Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Florian Haule wakati wa ugawaji wa mitungi ya gesi ya kilogramu 15 pamoja na majiko ya sahani mbili kwa Watumishi

Nishati safi ya kupikia suluhu kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi Read More »

Wizara ya Nishati yajivunia utekelezaji wa miradi saba kati ya 17 nchini

📌 Katibu Mkuu Nishati asema kati ya miradi hiyo saba, JNHPP imekamilika 📌 Asema EACOP imefikia asilimia 65 huku Serikali ya Tanzania  ikichangia  hisa za shilingi trilioni 1.12 📌Ruhudji na Rumakali tafiti zakamilika Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amesema kuwa katika miradi ya kimkakati inayotekelezwa nchini Wizara ya Nishati inatekeleza takribani

Wizara ya Nishati yajivunia utekelezaji wa miradi saba kati ya 17 nchini Read More »

Dk.Biteko azindua mradi utakaowakwamua vijana kiuchumi maeneo yanayopitiwa na EACOP

📌 Unahusisha kuongezea vijana ujuzi, kuboresha upatikanaji wa huduma za kifedha, na kuondoa vikwazo vya ujasiriamali na ajira binafsi 📌 Ataka ujuzi unaotolewa kwa vijana uende sambamba na utoaji wa mitaji 📌 Awaasa Vijana kuchangamkia fursa na kuwa waaminifu wanapopata nafasi  📌 Wanawake 6,130, Wanaume 4,905 na Makundi maalum 1,226 kufikiwa Naibu Waziri Mkuu na

Dk.Biteko azindua mradi utakaowakwamua vijana kiuchumi maeneo yanayopitiwa na EACOP Read More »