Admin

NMB yashiriki mkutano mkubwa wa Madini Australia, yaeleza ipo tayari kushirikiana na wadau

Benki ya NMB inashiriki katika mkutano mkubwa wa madini duniani, Africa Down Under, Perth, Australia unaomalizika leo. Mkutano huu wa siku tatu unawakutanisha wadau wa sekta ya madini kutoka sekta ya umma na binafsi ikiwemo viongozi wa serikali, makampuni ya uchimbaji, wawekezaji na wadau wengine kujadili fursa zilizopo, sera na hali ya jumla ya sekta […]

NMB yashiriki mkutano mkubwa wa Madini Australia, yaeleza ipo tayari kushirikiana na wadau Read More »

Mradi Wa Kabanga Nickel wavutia uwekezaji mkubwa kutoka kampuni za Australia

Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni ya madini ya BHP inayotarajia kuingia ubia na Kampuni ya Lifezone Metal kwa ajili ya kuwekeza nchini Tanzania katika mradi wa uchimbaji madini aina ya Nickel,Wilayani Ngara Mkoa wa Kagera. Mazungumzo hayo yalijikita katika kutoa taarifa ya maendeleo ya mradi wa

Mradi Wa Kabanga Nickel wavutia uwekezaji mkubwa kutoka kampuni za Australia Read More »

Exim Bima Festival 2024: Burudani yenye lengo la kuboresha huduma za Afya ya Akili 

Mwezi Septemba, Benki ya Exim Tanzania inawakaribisha Watanzania wote na wadau mbalimbali kujumuika pamoja kwa ajili ya jambo muhimu na la kipekee; Afya ya Akili. Ikiwa inasherehekea miaka 27 ya kuwahudumia Watanzania tangu kuanzishwa kwake, benki ya Exim inakuja na Exim Bima Festival 2024, ikiwa na kaulimbiu ‘Amsha Matumaini’, ambayo itafanyika mnamo tarehe 28 Septemba

Exim Bima Festival 2024: Burudani yenye lengo la kuboresha huduma za Afya ya Akili  Read More »

Benki ya NBC kutoa huduma mahususi zenye upendeleo kwa wafugaji

 Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini makubaliano ya ushirikiano wa kiutendaji na Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT) yanayolenga kufungua milango na fursa kwa wafugaji na wadau walioko kwenye mnyororo wa thamani wa sekta hiyo nchini ili  kupata  huduma za kifedha zilizo mahususi kulingana na mahitaji yao. Hafla ya kusaini hati za makubaliano hiyo imefanyika

Benki ya NBC kutoa huduma mahususi zenye upendeleo kwa wafugaji Read More »

Wizara ya Maji, Kilimo kushirikiana Miradi ya Maji na Umwagiliaji Ziwa Victoria, Tanganyika

Viongozi wawili wa Wizara ya Kilimo na Wizara ya Maji wamekutana leo Jijini Dodoma na kuahidi kushirikiana pamoja katika miradi ya maji na umwagiliaji ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa wizara hizo. Viongozi hao, Jumaa Aweso, Waziri wa Maji na Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo wamejadiliana mikakati mbalimbali ya

Wizara ya Maji, Kilimo kushirikiana Miradi ya Maji na Umwagiliaji Ziwa Victoria, Tanganyika Read More »

Mongella begins party inspection tour in Shinyanga

CCM Deputy Secretary General for Mainland Tanzania, John Mongella has begun a seven-day tour of the Shinyanga region today, September 5, 2024. The tour aims to inspect the implementation of the CCM Manifesto for 2020-2025, strengthen the party’s presence, and address challenges. Mongella, will also oversee the party’s activities in Shinyanga, hold internal and public

Mongella begins party inspection tour in Shinyanga Read More »

Makalla atembelea Mpaka wa Tanzania na Kenya ‘Namanga One Stop’ aridhishwa kwa kazi nzuri

“Nimeridhika na kazi mnayoifanya hapa ‘Namanga One Stop Border Post’ nimejionea foleni ya magari sio kubwa, pamoja na kazi nzuri mnayoifanya endeleeni kuhakikisha suala la foleni linaisha kabisa huku mkiondoa urasimu pamoja na yote muongeze Ushirikiano kwani kwa sasa tupo Vizuri Sisi na majirani zetu wa Afrika Mashariki”. “Jambo la Mwisho wapeni Ushirikiano hawa wafanyabiashara

Makalla atembelea Mpaka wa Tanzania na Kenya ‘Namanga One Stop’ aridhishwa kwa kazi nzuri Read More »

Uadilifu na uzalendo viwe nguzo katika utendaji kazi wa mashirika yasiyo ya kiserikali -Wakili Mpanju

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju ametoa rai kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kuzingatia uadilifu na uzalendo katika utekelezaji wa majukumu yao nchini bila kukiuka sera na sheria zilizowekwa. Ameyabainisha hayo katika Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Septemba 05,2024 linaloendelea Mkoani Dodoma.

Uadilifu na uzalendo viwe nguzo katika utendaji kazi wa mashirika yasiyo ya kiserikali -Wakili Mpanju Read More »