Admin

Macha aipongeza serikali, TANAPA ujenzi barabara

MKURUGENZI wa Kampuni ya Utalii ya Wolway Trekking Tanzania Limited, John Macha amepongeza hatua zinazochukuliwa na Serikali kupitia TANAPA kuboresha barabara zilizoathiriwa na mvua pamoja na wingi wa magari ya utalii yanayopita kwa siku. Katika barabara hiyo inakadiriwa takribani magari 300 mpaka 500 yaliyobeba watalii hupita. Mkurugenzi huyo ameyasema hayo leo alipozungumza na waandishi wa

Macha aipongeza serikali, TANAPA ujenzi barabara Read More »

Taasisi ya Doris Mollel yalaani Mtoto mchanga ayelawitiwa hadi kifo Dodoma

Taasisi ya Doris Mollel, imeelezea masikitiko yake kwa kutokea kwa tukio la kikatili ambalo linakiuka haki za msingi za mtoto na kuhatarisha mustakabali wa ustawi wa watoto nchini, hivyo wametoa pole kwa familia ya mtoto wa miezi sita aliyeuawa kikatili baada ya kubakwa na baba yake mzazi katika eneo la Mbuyuni, Kata ya Kizota, jijini

Taasisi ya Doris Mollel yalaani Mtoto mchanga ayelawitiwa hadi kifo Dodoma Read More »

Bobi Wine apigwa risasi ya mguu

Mwanasiasa mashuhuri Nchini Uganda ambaye pia ni Rais wa NUP, Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) amejeruhiwa kwa kupigwa risasi mguuni na Polisi wakati Polisi wakiwatawanya Wafuasi wake katika eneo la Bulindo Manispaa ya Kira. Vyombo vya Habari Nchini Uganda vimeripoti kuwa Bobi amepigwa risasi mguuni kauli ambayo imethibitishwa na Admin wa ukurasa wa X (zamani Twitter)

Bobi Wine apigwa risasi ya mguu Read More »

Bashungwa azigeukia kampuni za ujenzi zinazobabaisha wateja wao

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na mujibu wa mikataba na kuanza kuwazungusha waliowapa kazi ambapo kitendo hicho kinaharibu taswira ya Makampuni ya Makandarasi wengine nchini. Bashungwa ametoa onyo hilo, leo Septemba 04, 2024 jijini Dar es salaam

Bashungwa azigeukia kampuni za ujenzi zinazobabaisha wateja wao Read More »