Maonyesho ya kimataifa ya viwanda kukutanisha waonyeshaji 500 Dar
SHIRIKISHO la Viwanda Tanzania (CTI), kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), wameandaa maonesho ya kimataifa ya wenye viwanda (TIMEXPO 2024) yatakayoshirikisha viwanda 500. Mkurugenzi Mkuu wa CTI, Mhandisi Leodegar Tenga amewaambia waandishi wa habari leo kuwa maonyesho hayo yatafanyika kuanzia Septemba 26 hadi Oktoba 2, katika Viwanja vya Saba Saba jijini […]
Maonyesho ya kimataifa ya viwanda kukutanisha waonyeshaji 500 Dar Read More »