Admin

Majaliwa akabidhiwa tuzo ya Rais Samia kutoka kwa wadau wa masumbwi nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa, amepokea tuzo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyokabidhiwa na wadau wa ngumi nchini kwa kuthamini na kuendeleza sekta ya michezo nchini. Waziri Mkuu pia amekabidhi tuzo kwa wadau wa Michezo kwa kuipigania sekta hiyo kwa jasho na damu

Majaliwa akabidhiwa tuzo ya Rais Samia kutoka kwa wadau wa masumbwi nchini Read More »

Rais Samia apiga simu pambano la KO ya Mama, awapa neno mabondia Watanzania

Rais Samia Suluhu Hassan amepiga simu kwenye pambano la KnockoutYaMama (KO ya Mama) na kuwapa salamu za Sikukuu ya Krismasi na kuwatakia mwaka mpya mwema mashabiki waliofurika kwenye ukumbi wa The Super Dome, Masaki kushuhudia pambano hilo. Katika salamu zake, Rais Samia pia aliwataka mabondia Watanzania kupambana na kuipeperusha vema bendera ya Tanzania. Katika salamu

Rais Samia apiga simu pambano la KO ya Mama, awapa neno mabondia Watanzania Read More »

Dk. Mpango aungana na Watanzania kusheherekea Krismasi kwa amani na tafakari

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma katika Ibada ya Sikukuu ya Krismasi leo tarehe 25 Desemba 2024. Akitoa salamu za Sikukuu ya Krismasi kupitia kwa waumini hao,

Dk. Mpango aungana na Watanzania kusheherekea Krismasi kwa amani na tafakari Read More »

Tusherehekee Krismasi na Mwaka Mpya tukijivunia mabadiliko makubwa Sekta ya Nishati

Katika kusherehekea SIkukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025, Watanzania hatuna budi kujivunia safari ya mafanikio katika Sekta ya Nishati, hususan umeme. Je Unajua kabla ya kupata Uhuru mwaka 1961 Nchi ilizalisha umeme kwa kutumia mafuta ambapo kila mkoa ulijitegemea na hapakuwepo na mfumo wa gridi ya Taifa?  Safari ya Mabadiliko (yaani Journey of Transformation)

Tusherehekee Krismasi na Mwaka Mpya tukijivunia mabadiliko makubwa Sekta ya Nishati Read More »

Msimu wa Tatu wa Rombo Marathon 2024 Wafanikiwa kwa Kishindo

Msimu wa tatu wa Rombo Marathon 2024 umehitimishwa kwa mafanikio makubwa, ukiongozwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete, ambaye alihamasisha wanariadha wa Tanzania kutumia maeneo ya Rongai Forest kwa mazoezi, yakiwa na mazingira ya miinuko na misitu ya asili. Mbio hizo, zilizofanyika Desemba 23, zilihudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Rombo, mikoa jirani, na wageni

Msimu wa Tatu wa Rombo Marathon 2024 Wafanikiwa kwa Kishindo Read More »

Verified by MonsterInsights