Admin

Ujenzi Mradi wa kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika

📌 MD Nyamo-Hanga na Viongozi wengine (TANESCO) wakagua Maendeleo ya ujenzi wa Mradi huo na kuahidi kuendelea kuusimamia hadi ukamilike 📌Megawati 1175  kutoka kwenye mashine tano zilizokwishakamilika zinazalishwa na tayari zimeungwa kwenye Gridi ya Taifa  📌 Utekelezaji wake kwa Ujumla wafikia asilimia 99.55 Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania ( TANESCO) jana  Desemba 19, 2024

Ujenzi Mradi wa kufua Umeme wa Bwawa la Julius Nyerere mbioni kukamilika Read More »

Waziri Dk. Kijaji aagiza kufungwa viwanda, maduka vinavyozalisha nyavu zisizofaa kwa uvuvi

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Dk. Ashatu Kijaji, ameagiza kufungwa kwa viwanda na maduka yote yanayojihusisha na nyavu zisizofaa kwenye shughuli za uvuvi ikiwa ni hatua ya kukomesha uvuvi haramu nchini. Akizungumza jana Desemba 19, 2024 wakati wa ziara yake mkoani Mara baada ya kupokea taarifa ya Utekelezaji wa Shughuli za Uvuvi mkoani humo iliyobainisha

Waziri Dk. Kijaji aagiza kufungwa viwanda, maduka vinavyozalisha nyavu zisizofaa kwa uvuvi Read More »

 Dk. Kiruswa asisitiza mradi wa Kudu Graphite kuanza kwa wakati

📌Awataka kutekeleza matakwa ya Sheria ya Madini 📌KUDU Graphite Waahidi kuwaendeleza Watanzania kwenye kada muhimu Naibu Waziri wa Madini Dk. Steven Kiruswa amesisitiza kuanza kwa wakati kwa Mradi wa Uchimbaji Madini ya graphite (kinywe) na kwa mujibu wa Matakwa ya Sheria ya Madini alipokutana na Mwenyekiti Mpya wa Kampuni ya Evolution Energy Minerals, katika kikao

 Dk. Kiruswa asisitiza mradi wa Kudu Graphite kuanza kwa wakati Read More »

Ulega: TANROADS msilale

Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini Dodoma ambapo aliwaambia miradi ya dharula inapaswa kushughulikiwa kidharura. “Fanyeni kazi

Ulega: TANROADS msilale Read More »

Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nishati nchini Saudi Arabia 

📌Ashiriki Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini humo 📌 Zaidi ya Wafanyabiasha na Wawekezaji 250 wakutana  📌 JNHPP yatajwa kuongeza uhakika wa uwepo wa umeme 📍Saudi Arabia Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na  Wawekezaji nchini Saudi Arabia litaongeza uwekezaji kwenye Sekta ya Nishati kutokana na Tanzania kuzinadi fursa zilizopo kwenye

Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nishati nchini Saudi Arabia  Read More »

Verified by MonsterInsights