Admin

TUGHE yasisitiza haki na wajibu ili kuleta tija sehemu za kazi 

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimesisitiza kuwa ili kuleta tija katika maeneo ya kazi ni lazima wafanyakazi watimize wajibu wao ipasavyo huku waajiri nao wakiwajibika kutimiza haki za watumishi wao kulingana na makubaliano katika mikataba yao.  Akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu TUGHE […]

TUGHE yasisitiza haki na wajibu ili kuleta tija sehemu za kazi  Read More »

Serikali yaipa kongole kampuni ya CRJE ikiahidi mahusiano mema na China 

SERIKALI imeipongeza Kampuni ya ukandarasi kutoka nchini China ya CRJE (East Africa) Ltd kwa ufanyaji kazi uliotukuka huku ikiahidi kuendelea kukuza mahusiano yaliyodumu kwa muda mrefu kati ya Tanzania na China. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Waziri wa Katiba na Sheria Dk Damas Ndumbaro wakati wa uzinduzi wa ripoti ya Uwajibikaji kwa

Serikali yaipa kongole kampuni ya CRJE ikiahidi mahusiano mema na China  Read More »

Vodacom Tanzania kuboresha huduma kwa kuunganisha My Vodacom App na M-Pesa Supa App

Vodacom Tanzania inayo furaha kutangaza kuunganishwa kwa My Vodacom App na M-Pesa Supa App, hatua inayolenga kurahisisha na kuboresha zaidi huduma kwa wateja. Kupitia muunganiko huu, wateja wataweza kufurahia huduma zote wanazozipenda za Vodacom kwenye aplikesheni moja, hivyo kuongeza ufanisi na urahisi wa matumizi. Kama sehemu ya mabadiliko haya, My Vodacom App itasitishwa rasmi tarehe

Vodacom Tanzania kuboresha huduma kwa kuunganisha My Vodacom App na M-Pesa Supa App Read More »

EWURA yatoa mafunzo kwa Wanahabari, yahamasisha uvunaji wa maji ya mvua na matumizi ya nishati safi

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) leo Tar.13 Desemba 2024, imefanya mafunzo kwa Wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) jijini Dar es Salaam, huku msisitizo ukiwa kwenye uvunaji wa maji ya mvua katika kukabiliana na upungufu wa huduma za maji katika maeneo mbalimbali. Pia katika mafunzo

EWURA yatoa mafunzo kwa Wanahabari, yahamasisha uvunaji wa maji ya mvua na matumizi ya nishati safi Read More »

Verified by MonsterInsights