Admin

Filamu ya “Tantalizing Tanzania” yazinduliwa rasmi India

Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga picha mjongeo katika hifadhi za Serengeti, Ngorongoro na Zanzibar  imezinduliwa nchini India. Filamu hiyo iliyoandaliwa na Kampuni ya Swahili iliyopo Mumbai nchini India imezinduliwa rasmi na Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk. Pindi Chana […]

Filamu ya “Tantalizing Tanzania” yazinduliwa rasmi India Read More »

TANAPA yazindua kampeni ya “Shangwe la Sikukuu na TANAPA” Arusha

📌𝑀𝒶𝓂𝒾𝒶 𝓎𝒶 𝓌𝒶𝓀𝒶𝓏𝒾 𝓌𝒶 𝒿𝒾𝒿𝒾 𝓁𝒶 𝒜𝓇𝓊𝓈𝒽𝒶 𝓌𝒶𝒿𝒾𝓉𝑜𝓀𝑒𝓏𝒶 𝓀𝓊𝓈𝒽𝒾𝓇𝒾𝓀𝒾 𝓂𝒶𝓉𝒶𝓂𝒷𝑒𝓏𝒾 𝓎𝒶 𝒰𝓏𝒾𝓃𝒹𝓊𝓏𝒾 𝒽𝓊𝑜. Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limezindua rasmi kampeni ya “Shangwe la Sikukuu na TANAPA” leo, Desemba 13, 2024, jijini Arusha. Kampeni hii inalenga kuhamasisha Watanzania na wageni kutoka mataifa mbalimbali kutembelea Hifadhi za Taifa katika msimu wa sikukuu za Krismasi

TANAPA yazindua kampeni ya “Shangwe la Sikukuu na TANAPA” Arusha Read More »

Airtel Tanzania Expands Customer Reach with Third SGR Shop in Dodoma

Airtel Tanzania has unveiled its third Standard Gauge Railway (SGR) shop, located in Dodoma, further strengthening its commitment to delivering quality, accessible customer service across the country. The new Dodoma Airtel SGR Shop caters to the unique needs of travelers, business commuters, and residents, building on the success of its recently launched outlets at the

Airtel Tanzania Expands Customer Reach with Third SGR Shop in Dodoma Read More »

Lissu atoa funzo la kuton’gan’gania madaraka

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepasuka rasmi baada ya Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu, kutangaza nia ya kugombea uenyekiti unaoshikiliwa na Freeman Mbowe, aliyedumu kwenye kiti hicho kwa miaka 20. Awali Lissu alitangaza kutetea nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti, lakini amebadilisha mtazamo wake, badala yake akamuandikia barua Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, akimuarifu

Lissu atoa funzo la kuton’gan’gania madaraka Read More »

Mnada wa madini ya vito kuzinduliwa rasmi Desemba 14 Mirerani

▪️Waziri Mavunde kuzindua Mnada Rasmi ▪️Lengo ni kuyaongezea thamani ▪️Kudhibiti utoroshaji ▪️Kuuzwa kwa bei ya ushidani WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye mnada wa  madini ya  vito  unaotarajiwa kufanyika katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, ili kuyaongezea thamani madini hayo. Mnada huo ambao ulisimama kwa muda, umepangwa kufanyika

Mnada wa madini ya vito kuzinduliwa rasmi Desemba 14 Mirerani Read More »

DC Mgomi ataka nguvu ya pamoja kudhibiti vitendo vya ukatili wa kijinsia 

MKUU wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, amewaasa wananchi wa Wilaya ya Ileje kuungana na kushirikiana kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia, kukemea na kushirikiana na vyombo vya dola kutoa taarifa ya vitendo vya ukatili wa kijinsia ili jamii iwe salama. Akizungumza mapema juzi wakati wa kilele cha maadhimisho ya Kampeni ya Siku 16 za

DC Mgomi ataka nguvu ya pamoja kudhibiti vitendo vya ukatili wa kijinsia  Read More »

Amref Tanzania yakabidhi magari TAMISEMI, kuimarisha huduma za afya

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia afya Dk. Grace Magembe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa ya Mara na Simiyu kuyatunza magari wanayokabidhiwa ili yaendelee kuwahudumia wananchi katika eneo la afya kwa muda mrefu zaidi. Dkt.  Grace ameyasema hayo katika zoezi la kukabidhi magari mawili kwa Makatibu Tawala waliowakilishwa na Waganga Wakuu wa Mikoa

Amref Tanzania yakabidhi magari TAMISEMI, kuimarisha huduma za afya Read More »

Verified by MonsterInsights