Vijiji vitano vyalipwa bilioni 2 za mrabaha kutokana na uzalishaji dhahabu Nyamongo-Tarime
Waziri wa Madini,Anthony Mavunde ataka fedha zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya kuendeleza mipango ya maendeleo kwa wananchi. Hayo yamebainishwa leo Agosti 20, 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wilayani Tarime mkoani Mara wakati wa hafla fupi ya […]