Admin

Bata la Disemba: Heineken’s End-Of-Year Carnival Celebrates Music, Culture, and Community in Dar

The highly anticipated Bata la Disemba carnival, held from December 6–8, 2024, at the Leaders Club Grounds, has successfully concluded with an unforgettable celebration of music, culture, and community. The event organised by Heineken Beverages International in partnership with the city of Dar es Salaam brought together over 5,000 attendees for three days of electrifying

Bata la Disemba: Heineken’s End-Of-Year Carnival Celebrates Music, Culture, and Community in Dar Read More »

Kodi kubwa kwa wazalishaji wadogo wa bia kuhatarisha maendeleo ya wakulima

Kutoka kuwa mkulima mdogo anayelima kipande cha ekari moja na nusu, Nana Pissa sasa ni mama mwenye furaha ambaye ameshuhudia watoto wake wote sita wakisoma shule za chaguo lake wakifaulu hadi kufikia ngazi ya chuo kikuu. Nana anakumbuka, wakati wa wimbi la umaskini mwaka 2016, jinsi alivyochaguliwa katika mpango wa kilimo wa Serengeti Breweries Limited

Kodi kubwa kwa wazalishaji wadogo wa bia kuhatarisha maendeleo ya wakulima Read More »

Silinde aitaka TFC kuharakisha usambazaji wa mbolea ya ruzuku

Naibu Waziri wa Kilimo,David Silinde ameiagiza Kampuni ya Mbolea Tanzania (TFC ) kuharakisha usambazaji wa mbolea ya ruzuku kwa wakulima wote nchini kwani tayari msimu wa kilimo umeanza. Akizungumza mara baada ya kutembelea ghala la kuhifadhi mbolea lililopo eneo la Chuo cha Magereza, Ukonga, jijini Dar es Salaam jana Desemba 09, 2024, Silinde amesema ameridhishwa

Silinde aitaka TFC kuharakisha usambazaji wa mbolea ya ruzuku Read More »

RC Kunenge aipongeza Taifa Gas jitihada matumizi nishati safi Pwani

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge, ameonyesha kuridhishwa na jitihada zinazofanywa na wadau mbalimbali mkoani humo ikiwemo Kampuni ya Taifa Gas katika kufanikisha kampeni ya mabadiliko kuelekea matumizi ya nishati safi ya kupikia miongoni mwa makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo taasisi za elimu na wafanyabiashara wa vyakula. Akizungumza wakati wa kikao cha Kamati ya

RC Kunenge aipongeza Taifa Gas jitihada matumizi nishati safi Pwani Read More »

AstraZeneca Completes Successful Week of Service Across Africa

AstraZeneca has successfully concluded its inaugural Week of Service, a groundbreaking initiative that showcased its dedication to societal impact and environmental sustainability across its African operations. Employees from various countries united to volunteer their time, skills, and resources, embodying the company’s vision of building healthier, more resilient communities. Spanning five days, the initiative engaged staff

AstraZeneca Completes Successful Week of Service Across Africa Read More »

Uwekezaji sekta ya Nishati Tanzania kunufaisha nchi wanachama EAPP – Kapinga

📌 Ashiriki Mkutano wa Nchi Wanachama wa EAPP nchini Kenya 📌 Aeleza jinsi Tanzania inavyotekeleza miradi ya umeme kwa ufanisi 📌 Asema zaidi ya asilimia 99 ya Vijiji nchini vimesambaziwa umeme Naibu Waziri Nishati, Judidhi Kapinga amesema uwekezaji uliofanyika kwenye Sekta ya nishati nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu itazinufaisha Nchi Wanachama wa Umoja

Uwekezaji sekta ya Nishati Tanzania kunufaisha nchi wanachama EAPP – Kapinga Read More »

Airtel Tanzania Transforms Digital Learning in Rombo with Innovative Internet Routers

Airtel Tanzania has today handed over Airtel internet routers to 50 public schools situated in Rombo, Kilimanjaro, cementing the telecom’s devotion to enhancing digital learning across Tanzania. The donation of the routers is part of Airtel’s flagship initiative in partnership with the United Nations Children’s Fund (UNICEF) dubbed the Airtel SMARTWASOMI, designed to bridge the

Airtel Tanzania Transforms Digital Learning in Rombo with Innovative Internet Routers Read More »

Verified by MonsterInsights