Ngorongoro wathibitisha kuachana na kuni yawezekana
📌Wajitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya ruzuku Wakazi wa Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha wameitikia wito wa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ikiwa ni hatua ya kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kulinda afya na kutunza mazingira. Hayo yamedhihirika Desemba 8,2024 Wilayani […]
Ngorongoro wathibitisha kuachana na kuni yawezekana Read More »