Admin

LSF, Smile for Community wajengea vyoo shule za sekondari Mtwara

SHIRIKA la Uwezeshaji wa Kisheria linalofahamika kama Legal Service Facilities(LSF), kwa kushirikiana na wadau wengine wakiwamo Smile for Community, wamechangia kuboresha miundombinu ya shule ya Sekondari ya Nanyamba na Mnyawi zilizopo mkoani Mtwara. Mkurugenzi Mkuu wa taasisi ya Run for Binti, Flora Njelekela amesema maboresho waliyofanya kwenye shule hizo ni ujenzi wa vyoo vyenye matundu […]

LSF, Smile for Community wajengea vyoo shule za sekondari Mtwara Read More »

Madaktari wa Tanzania wahitimisha kambi tiba Comoro kwa ufanisi mkubwa

MADAKTARI wa Tanzania wamerejea nchini baada ya kuhitimisha Kambi tiba nchini Comoro kwa kutoa huduma kwa wagonjwa 2,770 na kufanya upasuaji kwa wagonjwa saba. Kwenye kambi hiyo ya siku saba wameweza kubaini wagonjwa takriban 269 wanahitaji rufaa za matibabu zaidi nje ya nchi na pia kuainisha fursa zaidi za ushirikiano katika sekta ya Afya. Akizungumza

Madaktari wa Tanzania wahitimisha kambi tiba Comoro kwa ufanisi mkubwa Read More »

Dk. Jafo atembelea banda la REA kwenye Mkutano wa Kikanda wa Nishati 2024

📌Aipongeza REA kwa kufikisha umeme vijijini 📌Asisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia 📌Apokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati akifunga Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 uliofanyika leo tarehe 5 Disemba, 2024 jijini Arusha.

Dk. Jafo atembelea banda la REA kwenye Mkutano wa Kikanda wa Nishati 2024 Read More »

Wahasibu Afrika waaswa kusimamia ukweli wa taaluma yao

📌 Dk. Biteko Amwakilisha Rais Samia Kufunga Mkutano AAAG 📌 Asema Afrika Inawategemea Wahasibu Kunufaika na Utajiri wake 📌 Asisitiza Matumizi ya Teknolojia kwa Wahasibu Afrika Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amewaasa wahasibu barani Afrika kuisimamia taaluma yao kikamilifu ili kuendeleza umuhimu na mchango na ukuaji wa uchumi duniani. Ameyasema

Wahasibu Afrika waaswa kusimamia ukweli wa taaluma yao Read More »

Benki ya NMB yanyakua tuzo zaidi ya 30 za ubora na umahiri mwaka 2024

Benki ya NMB imedhihirisha tena ukubwa wake nchini, baada ya mwaka huu kuweka rekodi kwa kutwaa zaidi ya tuzo 30 zinazotambua ubora wa huduma zake, ubunifu, ufanisi katika uendeshaji na utendaji, pamoja na mchango wake mkubwa katika ujenzi wa taifa. Mafanikio hayo ya kipekee kitasnia na makubwa kitaifa na kimataifa yalibainishwa jana jijini Mwanza na

Benki ya NMB yanyakua tuzo zaidi ya 30 za ubora na umahiri mwaka 2024 Read More »

Aweso ajikita katika matumizi ya teknolojia suluhu ya upotevu wa maji nchini

Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso amewasili Seoul nchini Korea Kusini kwa mualiko maalumu wa Benki ya Exim ya Korea na mfuko wa mashirikiano ya kiuchumi wa Korea (EDCF) ambapo anatarajia kukutana na Makamu wa Rais wa Benki hiyo tarehe 06 Desemba 2024 kujenga mashirikiano zaidi baada ya uwekezaji wa serikali ya Korea kusini katika

Aweso ajikita katika matumizi ya teknolojia suluhu ya upotevu wa maji nchini Read More »

Jaji Warioba: Serikali ya awamu ya sita imethubutu kupunguza changamoto za kisiasa

“Haya matatizo tuliyo nayo, kwa viwango vikubwa, yalitokana na awamu ya tano. Rais Samia alipoingia, alirithi yale matatizo. Lakini alikuwa na uthubutu wa kufanya maabdiliko. Yeye ndiye aliyeanzisha yale mazungumzo kati ya CCM na vyama vingine ili tufikie muafaka, mpaka akaleta 4R. Haikuwa kazi rahisi, lakini akaweza kukubaliana na ushauri,”Waziri Mkuu mstaafu Jaji Sinde Warioba.

Jaji Warioba: Serikali ya awamu ya sita imethubutu kupunguza changamoto za kisiasa Read More »

Suala la matumizi bora ya nishati liwe kwenye mipango yetu serikali- Dk. Biteko

📌Nia ni kuhakikisha Bara la Afrika linatumia nishati kwa ufanisi na kupunguza upotevu wa umeme 📌Afungua Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati (REEC 2024) 📌Azindua Mkakati wa kwanza wa Kitaifa wa Matumizi Bora ya Nishati 📌 UNDP, WB na EU zatoa pongezi, zaahidi ushirikiano Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto

Suala la matumizi bora ya nishati liwe kwenye mipango yetu serikali- Dk. Biteko Read More »

Verified by MonsterInsights