Admin

Makalla: Kasoro za uchaguzi zinawahusu vyama vyote

“Tunasikitishwa na matukio mbalimbali yaliyotokea. Na mimi niungane na viongozi wa dini kukemea matukio haya yaliyotokea. Niliseme tu, matukio haya yasihusishwe na vyama vya upinzani tu. Yani tusiongelee kwamba tunakemea jambo hili kwa sababu vyama vya upinzani vina watu ambao wamepatwa na matukio haya halafu tukasahau na Chama Cha Mapinduzi kama nacho kimefanyiwa matukio haya.

Makalla: Kasoro za uchaguzi zinawahusu vyama vyote Read More »

PSSSF yaibuka mshindi wa kwanza tuzo za NBAA za uandaaji bora wa mahesabu, 2023

MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetunukiwa tuzo ya mshindi wa kwanza ya umahiri katika uaandaji wa taarifa za mahesabu kwa mwaka unaoishia 2023, katika kundi la hifadhi ya jamii. Tuzo hiyo imepokelewa na Meneja wa Fedha, PSSSF, Vonness Koka, kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu, katika hafla ya utoaji tuzo ulioratibiwa

PSSSF yaibuka mshindi wa kwanza tuzo za NBAA za uandaaji bora wa mahesabu, 2023 Read More »

Kambi Tiba ya Madaktari wa Tanzania Comoro yaanza kwa kishindo

KAMBI Tiba ya Madaktari Bingwa kutoka Tanzania nchini Comoro imeanza kwa mwitikio mkubwa wa wananchi wa nchini humo ambapo mamia wamejitokeza kupata huduma mbali mbali zinazotolewa kwa ushirikiano na madakatari wazawa katika Kisiwa cha Ngazidja. Madaktari hao wa Tanzani wametoa huduma za uchunguzi na matibabu katika matatizo ya mifupa,figo na kibofu cha mkojo, mifupa, saratani,

Kambi Tiba ya Madaktari wa Tanzania Comoro yaanza kwa kishindo Read More »

Mamlaka usafirishaji majini Barani Afrika zatakiwa kushirikiana kuboresha huduma

📌 Dkt.Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAAMA 📌 Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo 📌 IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano kukabiliana na changamoto Baharini 📌 Dar es Salaam yampongeza Rais Samia kuboresha Bandani, kupunguza msongamano Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana ili

Mamlaka usafirishaji majini Barani Afrika zatakiwa kushirikiana kuboresha huduma Read More »

Verified by MonsterInsights