NMB yazindua Worldwide Pesa, hakuna mipaka kutuma fedha EAC, SADC
BENKI ya NMB imezindua Huduma ya Kimkakati kwa Ustawi wa Sekta ya Fedha na Uchumi wa Taifa ‘NMB Worldwide Pesa, inayowapa fursa Watanzania ya kutuma na kupokea pesa kutoka nchi 22 za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kupitia simu za mkononi. Uzinduzi wa NMB Worldwide Pesa ‘Dhumuni […]
NMB yazindua Worldwide Pesa, hakuna mipaka kutuma fedha EAC, SADC Read More »