Admin

Rais Samia akikagua Gwaride

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride maalumu wakati wa hafla ya Kutunuku Kamisheni na kushiriki Mahafali kwa Maafisa Wanafunzi kundi la 05/21BMS na kundi la 71/23 (Regular) kwenye Chuo Cha Mafunzo ya kijeshi (TMA) Monduli Mkoani Arusha leo November 28, 2024.

Rais Samia akikagua Gwaride Read More »

Nimepiga kura, nimetimiza haki yangu ya kikatiba- Kapinga

📌 Aungana na Wananchi kuchagua Viongozi Kitongoji cha Mheza 📌 Ahimiza Watanzania kuendelea kujitokeza kupiga kura Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupiga kura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili kuchagua viongozi wa eneo husika. Kapinga ameeleza kuwa, kwa kufanya hivyo ametimiza haki yake ya

Nimepiga kura, nimetimiza haki yangu ya kikatiba- Kapinga Read More »

Serengeti Lite yazindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ kuchochea ubunifu  

Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ chini ya bia yake ya Serengeti Lite. Kampeni hii inalenga kuhamasisha vijana wa Kitanzania kuibua vipaji vya ubunifu, kujieleza kwa uhuru, na kuboresha maisha yao kupitia ubunifu.   Uzinduzi wa kampeni hii uliofanyika jijini Dar es Salaam uliwakutanisha watu mashuhuri, waandishi wa maudhui,

Serengeti Lite yazindua kampeni ya ‘Lite Your Imagination’ kuchochea ubunifu   Read More »

Waziri Aweso aendelea na kampeni Pangani, awahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura

Mbunge wa Jimbo la Pangani na Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso ameendelea na kampeni jimboni Pangani katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Aweso akiambatana na wajumbe wa kamati ya Siasa ya CCM Wilaya ya Pangani ameendelea kuwanadi wagombea wa CCM kata kwa kata na kijiji kwa kijiji huku akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi

Waziri Aweso aendelea na kampeni Pangani, awahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Read More »

Dkt. Biteko awaalika wadau kushiriki Mkutano wa Kikanda Matumizi Bora ya Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko anawaalika Wadau wa Matumizi Bora ya Nishati katika Mkutano wa Kikanda (REEC2024) utakaofanyika Jijini Arusha tarehe 4 na 5 Desemba, 2024. Mkutano huo utahusisha Wadau mbalimbali kutoka Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Dkt. Biteko awaalika wadau kushiriki Mkutano wa Kikanda Matumizi Bora ya Nishati Read More »

Waziri Chana: Hakikisheni mashamba ya miti yanasajiliwa kwa bima

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk. Pindi Chana ameielekeza Menejimenti ya Shamba la Miti Sao Hill kuweka utaratibu wa kujisajili katika bima kwa lengo la kukabiliana na hasara zinazotokana na miti kuungua kwa moto. Waziri Dk.Chana ameyasema  hayo leo Novemba 25,2024 alipofanya ziara ya kikazi katika Shamba la Miti Sao Hill lililopo Wilaya ya

Waziri Chana: Hakikisheni mashamba ya miti yanasajiliwa kwa bima Read More »

Verified by MonsterInsights