Admin

Dk. Rutachunzibwa: Mtanzania wa kwanza kutibu saratani bila upasuaji

Dk. Fredy Rutachunzibwa wa Hospitali ya Kairuki ameweka historia kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kufuzu mafunzo ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya HIFU (High-Intensity Focused Ultrasound). Teknolojia hiyo inatoa tiba isiyo ya upasuaji kwa kutumia mawimbi ya sauti yenye nguvu kuteketeza seli za saratani kwa usahihi. Akizungumza leo Dk. Rutachunzibwa ameeleza kuwa […]

Dk. Rutachunzibwa: Mtanzania wa kwanza kutibu saratani bila upasuaji Read More »

Kapinga aendelea na mchakamchaka kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

📌 Baada ya Namtumbo, aingia Mbinga Vijijini 📌 Ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Novemba 27, 2024 📌 Asema Kura ziende CCM; Ndiyo chimbuko la Viongozi Bora; Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa

Kapinga aendelea na mchakamchaka kuhamasisha wananchi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Read More »

MUHAS yafanya mbio za Reunion Fun Run kuchangisha ujenzi miundombinu ya michezo na kuimarisha afya

Mkurugenzi wa Kinga, Wizara ya Afya, Dk. Ntuli Kapologwe, amesema mbio za Reunion Fun Run, zilizoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kwa msimu wa tatu, zinalenga kuboresha miundombinu ya michezo chuoni humo huku zikihamasisha jamii kuhusu umuhimu wa mazoezi kwa afya. Akizungumza leo, Novemba 23, 2024, baada ya mbio hizo

MUHAS yafanya mbio za Reunion Fun Run kuchangisha ujenzi miundombinu ya michezo na kuimarisha afya Read More »

Benki ya NBC Yatambulisha Kampeni ya Kilimo Mahususi Kwa Wakulima na Wafugaji Mbeya

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imetambulisha kampeni yake ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na NBC Shambani’ kwa wakulima na wafugaji wa wilaya za Rungwe na Kyela mkoani Mbeya ikiwa ni muendelezo wa jitihada za benki hiyo kuchochea kasi ya ukuaji wa sekta za kilimo na  ufugaji nchini kupitia uchumi jumuishi unaochagizwa na huduma

Benki ya NBC Yatambulisha Kampeni ya Kilimo Mahususi Kwa Wakulima na Wafugaji Mbeya Read More »

Rais Samia aungwe mkono ajenda ya nishati safi ya kupikia – RC Makongoro

📌Mitungi ya gesi ya kupikia 9,765 kusambazwa Rukwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Mhe. Makongoro Nyerere amewataka Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha na kuchochea ajenda ya nishati safi ya kupikia nchini.  Hayo yamebainishwa leo Novemba 21, 2024 na Mhe. Nyerere mara baada

Rais Samia aungwe mkono ajenda ya nishati safi ya kupikia – RC Makongoro Read More »

Verified by MonsterInsights