Admin

Betway Africa Offers a Once-in-a-Lifetime ‘Play-on-the-Pitch’ Experience at Emirates Stadium

Leading global online sports betting and gaming brand Betway is offering one lucky customer the ultimate football experience – the chance to play on the iconic Emirates Stadium pitch, home of Arsenal Football Club. Betway Tanzania has launched an exclusive promotion tied to the 2024 Premier League season as part of its ongoing partnership with […]

Betway Africa Offers a Once-in-a-Lifetime ‘Play-on-the-Pitch’ Experience at Emirates Stadium Read More »

Naibu Spika Mgeni asisitiza ujenzi wa viwanda vya uongezaji thamani madini nchini

📌Aishukuru GST kwa kufanya utafiti wa madini na kuandaa Ramani ya Jiolojia Zanzibar 📌Awakaribisha Wawekezaji Kuwekeza Katika Sekta ya Madini Zanzibar 📌 Waziri Mavunde asema Wizara itaandaa eneo maalum la kudumu la kufanyia Mikutano ya Madini Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mgeni Hassan Juma, amesema kuwa kama ili kufikia azma ya kuwa kitovu

Naibu Spika Mgeni asisitiza ujenzi wa viwanda vya uongezaji thamani madini nchini Read More »

REA yawahakikishia upatikanaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita nchi nzima

📌Mitungi ya gesi zaidi ya 13,000 kusambazwa Songwe 📌Kila wilaya kupatiwa mitungi ya gesi 3,255  Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Songwe kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita pamoja na vifaa

REA yawahakikishia upatikanaji wa mitungi ya gesi ya kilo sita nchi nzima Read More »

IWPG Global Region 2 Hosts the 6th ‘International Women Leaders’ Peace Meeting’

– Held under the theme “The Role of International Women Leaders in Ending War” The 6th International Women Leaders’ Peace meeting was hosted online on November 16 by the International Women’s Peace Group (IWPG) Global Region 2 (Regional Director SeoYeon Lee). The event was attended by approximately 300 women leaders and members from 15 countries,

IWPG Global Region 2 Hosts the 6th ‘International Women Leaders’ Peace Meeting’ Read More »

Geita Gold Mine, Twiga Barrick watawala tuzo usiku wa madini 2024

📌Shanta Mining, Luminatha, Godlisten Mwanga miongoni mwa waliong’ara 📌Hafla yapambwa na Maonesho ya Madini ya Vito na bidhaa zake Kampuni za Madini za Geita Gold Mine Limited na Twiga Minerals Corporation  zimetawala katika tuzo maalum za Usiku wa Madini kwa kufanya vizuri katika Sekta ya Madini na kujinyakuliwa tuzo mbalimbali. Katika hafla hiyo iliyofana usiku

Geita Gold Mine, Twiga Barrick watawala tuzo usiku wa madini 2024 Read More »

Waziri Mavunde awakaribisha wawekezaji wa madini wa Finland kuwekeza Tanzania 

▪️Ampongeza Rais Samia kwa kuboresha mazingira ya Biashara nchini ▪️Wavutiwa na uwepo wa Rasilimali madini za kutosha ▪️Finland yaiahidi Tanzania ushirikiano kwenye utafiti wa madini Waziri wa Madini Anthony Mavunde amewakaribisha jumuiya ya wa Wafanyabiashara kutoka Nchini Finland kuwekeza kwenye sekta ya madini kwa kuwa nchi ya Tanzania imejaaliwa kuwa na rasilimali ya kutosha ya

Waziri Mavunde awakaribisha wawekezaji wa madini wa Finland kuwekeza Tanzania  Read More »

Waziri Mavunde azindua toleo jipya la kitabu cha madini viwandani

●Kitabu chaonesha uwepo wa madini viwanda 43 ●GST yawakaribisha wadau kutumia taarifa za utafiti. Imeelezwa kwamba Tanzania ina aina mbalimbali za madini ya viwandani ambapo kwa mujibu wa toleo jipya la pili la kitabu cha madini viwandani kilichoandikwa na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kimeonesha aina 43 za madini viwandani ambayo

Waziri Mavunde azindua toleo jipya la kitabu cha madini viwandani Read More »

Airtel Africa-UNICEF Partnership Connects 1,200 Schools, 1m Africa Children to Digital Education

Airtel Africa, a leading provider of telecommunications and mobile money services across 14 African countries, has today announced that its five-year partnership with United Nations Children’s Fund (UNICEF), aimed at transforming education across the continent, has connected over 1,500 schools to the internet, trained 17,000 teachers, and reached nearly a million learners with quality digital

Airtel Africa-UNICEF Partnership Connects 1,200 Schools, 1m Africa Children to Digital Education Read More »

Verified by MonsterInsights