Rais Dkt. Samia aagiza kufanyika uchunguzi wa majengo Kariakoo
“Jitihada zetu kubwa katika tukio hili zilikuwa kuokoa wenzetu walionaswa ndani ya jengo hili wakiwa hai ndio lengo kubwa. Lakini kama tunavyoambiwa jitihada haiondoshi kudra za Mungu. Pamoja na jitihada zilizofanywa na serikali na waokoaji hawa waliopo hapa na wengine lakini bado kuna wenzetu ambao tumewapoteza. Na taarifa niliyopewa leo kwamba mpaka saa tatu asubuhi […]
Rais Dkt. Samia aagiza kufanyika uchunguzi wa majengo Kariakoo Read More »