Admin

Kamati ya Bunge, Ustawi na Maendeleo ya Jamii yawataka watumiaji Daraja la Nyerere kulipia bando

*Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu *Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, imeridhishwa na utaratibu wa manunuzi ya bando la tozo kwa matumizi ya Daraja la Nyerere, Kigamboni ambapo imewataka watumiaji wa daraja hilo kulipia bando kwa sababu ni […]

Kamati ya Bunge, Ustawi na Maendeleo ya Jamii yawataka watumiaji Daraja la Nyerere kulipia bando Read More »

Vodacom yaungana na Bolt kukuza ujumuishwaji wa kifedha kupitia malipo ya kidijitali 

*Kutoa mikopo ya simu, bima za aina mbalimbali na mafuta kwa madereva, ili kuwawezesha kutoa huduma bora zaidi Vodacom Tanzania Plc imetangaza ushirikiano wa kimkakati na Bolt, moja kati ya makampuni makubwa ya teksi mtandao, wakitoa huduma za usafiri nchini, kwa lengo la kuongeza ujumuishwaji wa kifedha kwa madereva na kukuza malipo ya kidijitali. Ushirikiano

Vodacom yaungana na Bolt kukuza ujumuishwaji wa kifedha kupitia malipo ya kidijitali  Read More »

RC Senyamule apongeza utaratibu wa PSSSF kuelimisha wastaafu watarajiwa

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amepongeza utaratibu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kuwajengea uwezo wa namna bora ya maisha nje ya utumishi wa umma kwa wastaafu watarajiwa wanaochangia PSSSF jijini Dodoma Novemba 11, 2024. Amesema mwelekeo wa serikali ni kuipeleka Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati

RC Senyamule apongeza utaratibu wa PSSSF kuelimisha wastaafu watarajiwa Read More »

UBA Reinforces Commitment to Long-term investments in Africa, set to expand operation in Middle East

Africa’s Global Bank, United Bank for Africa (UBA) Plc, has set the wheels in motion to expand its operations in the Middle East. A plan to open a subsidiary in Saudi Arabia, its largest economy, is ongoing. This move which is expected to happen within the next year will mark the bank’s second subsidiary in

UBA Reinforces Commitment to Long-term investments in Africa, set to expand operation in Middle East Read More »

NMB yatenga Mil. 450/- kuzawadia wateja Kampeni ya MastaBata ‘La Kibabe’

BENKI ya NMB imezindua msimu wa sita wa kampeni maalum ya kuhamasisha matumizi na malipo kwa njia ya kadi ‘NMB MastaBata – La Kibabe,’ ambayo kwa miezi mitatu mfululizo wateja wa benki hiyo watajishindia zawadi zenye thamani ya zaidi ya Sh. Mil. 300, pamoja na safari za utalii wa ndani na nje ya nchi. NMB

NMB yatenga Mil. 450/- kuzawadia wateja Kampeni ya MastaBata ‘La Kibabe’ Read More »

RC Chalamila azindua programu ya upandaji miti ya Michikichi Mto Mpiji

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila amezindua rasmi programu ya upandaji wa miti ya Michikichi katika Mto Mpiji kwa lengo la kurejesha uoto wa asili na kuthibiti mmomonyoko wa udongo na kuimarisha mazingira yanayoathirika zaidi kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Hafla hii ya uzinduzi imewakutanisha wadau mbalimbali wa mazingira wakiwemo NEMC, Wakandarasi

RC Chalamila azindua programu ya upandaji miti ya Michikichi Mto Mpiji Read More »

Kamati za Bunge zashiriki semina ya TRC kuhusu uendeshaji wa SGR na miundombinu

Kamati ya Bunge ya Bajeti na Kamati ya Bunge ya Miundombinu zimeshiriki Semina ya Wabunge kuhusu utendaji wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Stesheni ya SGR ya John Pombe Magufuli jijini Dar es Salaam, Novemba 09, 2024. Lengo la Semina hiyo ni kuwajengea uwezo wabunge ili wafahamu vyema shuhguli

Kamati za Bunge zashiriki semina ya TRC kuhusu uendeshaji wa SGR na miundombinu Read More »

Verified by MonsterInsights