Admin

Wabia wa maendeleo waahidi kuendelea kushirikiana na serikali kutekeleza miradi ya REA

📌 REA yapongezwa kufikisha umeme vijijini Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Fatma Mwassa ameupongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kazi kubwa ya kufikisha umeme vijijini ambapo imekuwa ni chachu katika kuboresha huduma za kijamii vijijini pamoja na uchumi wa wananchi. Mwassa ametoa pongezi hizo leo Novemba 8, 2024 Mkoani Kagera wakati akifungua Mkutano wa Pili

Wabia wa maendeleo waahidi kuendelea kushirikiana na serikali kutekeleza miradi ya REA Read More »

Kapinga asema mafanikio Sekta ya Nishati yanatokana na jitihada za Rais Samia

📌 Ni wakati akitoa mchango Bungeni kuhusu Mpango wa Taifa wa Maendeleo 📌 Ataja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya Taifa 📌 Aeleza usambazaji umeme vijijini ulivyofanyika kwa mafanikio; Vijiji 78 Tu vyasalia 📌 Aeleza jitihada zilizofanyika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia; Utoaji wa Leseni na Duru ya Tano ya kunadi vitalu

Kapinga asema mafanikio Sekta ya Nishati yanatokana na jitihada za Rais Samia Read More »

REA kufunga mifumo ya nishati safi ya kupikia Shule ya Ruhinda

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeahidi kujenga mifumo ya nishati safi ya kupikia pamoja na jiko katika shule ya Sekondari ya mchanganyiko ya Ruhinda iliyopo Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera. Ahadi hiyo imetolewa Novemba 7, 2024 na Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi Hassan Saidy wakati wa muendelezo wa ziara ya viongozi mbalimbali wa Serikali waliambatana

REA kufunga mifumo ya nishati safi ya kupikia Shule ya Ruhinda Read More »

Makandarasi wakumbushwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu kusajili miradi

Makandarasi wameaswa kuzingatia sheria kanuni na taratibu zote zinazoongoza shughuli za ujenzi ikiwemo kusajili miradi inayotekelezwa hapa nchini. Akizungumza wakati wa mafunzo ya Mipango na Udhibiti wa Miradi ya Ujenzi (Construction Planning, Organisation and Control) yanayofanyika kwa siku tatu jijini Mwaza, Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) Mhandisi Rhoben Nkori alisema kuwa lengo

Makandarasi wakumbushwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu kusajili miradi Read More »

Benki ya Equity Tanzania yasaini mkataba wa kuwawezesha wanawake kiuchumi

Benki ya Equity Tanzania jana tarehe 5 Novemba 2024, imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania, washauri wabobezi wa biashara, kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha wanawake kiuchumi. Mradi huu unafanyika kwa ushirikiano na Taasisi ya Maendeleo ya Kimataifa ya African Guarantee Fund/AFAWA. Lengo kuu la mradi huu ni kuwajengea wanawake uwezo

Benki ya Equity Tanzania yasaini mkataba wa kuwawezesha wanawake kiuchumi Read More »

Wahitimu wenye bunifu CBE kuendelezwa

WAKATI  Chuo cha Elimu ya  Biashara (CBE) kikitarajia kusherehekea  miaka 60 ya chuo hicho uongozi wa chuo hicho umesema unatarajia kuhakikisha wanafunzi wenye vipaji wanafika mbali kwa kuwa maono yao ndiyo mafanikio yao.  Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga, wakati wa hafla ya kuwatunuku vyeti na zawadi mbalimnbali wanafunzi waliofanya

Wahitimu wenye bunifu CBE kuendelezwa Read More »

Verified by MonsterInsights