Admin

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yaipongeza NSSF kwa mafanikio katika utendaji

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Mwanaasha Khamis Juma wameupongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa mafanikio makubwa uliyopata katika utekelezaji wa majukumu yake ya msingi ambayo ni kuandikisha wanachama, kukusanya michango, kuwekeza na kulipa mafao. Mwanaasha ametoa pongezi hizo wakati walipofanya ziara ya kikazi

Kamati ya Bajeti ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yaipongeza NSSF kwa mafanikio katika utendaji Read More »

REA yawapongeza,yawashukuru waratibu wa miradi ya Nishati vijijini

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewapongeza na kuwashukuru Waratibu wa Miradi ya Nishati vijijini kwa uzalendo na juhudi zao zilizowezesha mradi wa kupeleka umeme vijijini kufanikiwa na kukamilika katika ubora uliotarajiwa. Pongezi hizo zimetolewa leo Agosti 27, Jijini Dodoma na Mkurugenzi wa Mipango na Utafiti REA, Mhandisi Godfrey Chibulunje kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wakati

REA yawapongeza,yawashukuru waratibu wa miradi ya Nishati vijijini Read More »

Kapinga aeleza juhudi za serikali kusambaza vituo vya CNG nchini

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC), inajenga vituo vya kujazia gesi kwenye magari (CNG) mkoani Dar es Salaam (viwili) na mkoani Pwani (kimoja) huku TPDC ikiendelea na ununuzi wa vituo vidogo vya kujaza CNG kwenye magari vinavyohamishika ambavyo vitasimikwa

Kapinga aeleza juhudi za serikali kusambaza vituo vya CNG nchini Read More »

Serikali ya Marekani yasisitiza nia ya kushiriki kuendeleza Mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP

Serikali ya Marekani imesisitiza nia ya kushiriki katika kuendeleza Mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP. Pia imeweka mkazo wa ushiriki wake katika mradi huo wa kimkakati ambao ni kati ya miradi mikubwa na kielelezo katika sekta ya madini nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini Anthony Mavunde ambae amefanya mazungumzo na kampuni ya

Serikali ya Marekani yasisitiza nia ya kushiriki kuendeleza Mradi wa Kabanga Nickel na Kampuni ya BHP Read More »

Benki ya NBC yatoa elimu ya fedha kwa wanafunzi, walimu Shule ya Sekondari Pugu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetoa elimu ya fedha na umuhimu wa uwekaji akiba kwa wanafunzi na walimu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Pugu iliyopo Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam. Hatua hiyo inalenga kutoa fursa kwa wanafunzi hao kujifunza masuala ya kifedha ili kuwajengea utamaduni wa kujiwekea akiba, kubuni mawazo

Benki ya NBC yatoa elimu ya fedha kwa wanafunzi, walimu Shule ya Sekondari Pugu Read More »

Raia wa China aliyejifungua mapacha Hospitali ya Regency ashukuru huduma nzuri

RAIA wa China, Liya Zhang (31), ambaye amejifungua watoto mapacha watatu wa kiume katika hospitali ya Regency ya jijini Dar es Salaam ameshukuru kwa huduma nzuri alizopata. Raia huyo alijifungua watoto hao siku ya Jumapili usiku hospitalini hapo na mpaka sasa anaendelea vizuri yeye na watoto wake hao watatu. Akizungumza hospitalini hapo, Liya alisema awali

Raia wa China aliyejifungua mapacha Hospitali ya Regency ashukuru huduma nzuri Read More »

One of the small food business owners at the Msamvu market in Morogoro, Ms. Halima Kimairo, who is one of the beneficiaries of a 50 cooking gas cylinders credit program from Taifa Gas company, continues with her business activities in the market towards the end of the week. The loan is part of the trial leading to the implementation of the company's larger plan that aims to provide the type of energy loan to 1,000 entrepreneurs in each region across the country.

Taifa Gas Empowers Young Entrepreneurs in Morogoro with Clean Energy Access

Taifa Gas Company has announced its initiative to support young entrepreneurs in Morogoro by facilitating easy access to clean and safe energy. The move aligns with the ongoing efforts of the President of the United Republic of Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, to ensure the widespread availability of clean energy in the country. Approximately 50

Taifa Gas Empowers Young Entrepreneurs in Morogoro with Clean Energy Access Read More »