Admin

Kamishina Jenerali Lyimo aongoza kuteketeza hekari 1,165 za mashamba ya bangi Morogoro

MAMLAKA ya kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA )imeteketeza jumla ya ekari 1,165 za mashamba ya Bangi pamoja na kukamata kilogramu 102 za mbwgi za bangi katikavijiji vya Mafumbo na Lujenge mkoani Morogoro. Akizungumza Kamishna Jenerali wa mamlaka hiyo (DCEA)Aretas Lyimo baada ya uteketezaji huo alisema mashamba hayo yalikua yamelimwa pembezoni mwa mto Mbakana,Misigiri, […]

Kamishina Jenerali Lyimo aongoza kuteketeza hekari 1,165 za mashamba ya bangi Morogoro Read More »

Benki ya NBC yachochea ukuaji sekta ya Michezo, Burudani na Utalii Zanzibar, Rais Samia, Dk.Mpango wapongeza

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) mwishoni mwa wiki ilishiriki kikamilifu kwenye Tamasha la Kizimkazi Zanzibar kwa kuandaa matukio kadhaa ya kimichezo, burudani na utalii visiwani humo yaliyohusisha uwepo wa viongozi wakuu wa nchi wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango na viongozi

Benki ya NBC yachochea ukuaji sekta ya Michezo, Burudani na Utalii Zanzibar, Rais Samia, Dk.Mpango wapongeza Read More »

“Fountain Gate ni timu nzuri, tumejiandaa vizuri lakini”

“Fountain Gate ni timu nzuri sana ambayo imejitengeneza vizuri kwenye ulinzi. Tumejiandaa vizuri lakini tunawachukulia kwa uzito mkubwa na tunawaheshimu kama timu nzuri na tumejiandaa kama siku zote kwa ajili ya kuchukua pointi tatu. “Nafurahishwa na njia zetu za kutengeneza nafasi na kufungua wapinzani. Tunataka kuwa na aina ya uchezaji wa haraka. Nina uhakika Fountain

“Fountain Gate ni timu nzuri, tumejiandaa vizuri lakini” Read More »

Shule ya Sekondari Hasnuu Makame yaitikia agizo la matumizi ya Nishati safi ya kupikia

Moja ya maagizo ya Serikali kuelekea katika safari matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini ni taasisi zikiwemo shule kuachana na matumizi ya nishati zisizo safi na salama kama kuni na mkaa wa asili na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia ikiwemo gesi. Shule ya Sekondari ya Hasnuu Makame, iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja Visiwani

Shule ya Sekondari Hasnuu Makame yaitikia agizo la matumizi ya Nishati safi ya kupikia Read More »

REA yawapa tuzo wakandarasi waliofanya vizuri miradi ya Peri Urban III

Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imewapa tuzo na vyeti maalum Wakandarasi waliofanya vizuri kupitia Mradi wa Kupeleka Umeme maeneo ya Pembezoni mwa Miji Awamu ya Tatu (Peri Urban III) kote nchini ndani ya muda uliopangwa na kwa ubora unatakiwa. Awali, Mkurugenzi Mkuu wa REA, Mhandisi, Hassan, Saidy alisema utendaji madhubuti (Performance) na kukamilisha Miradi ya

REA yawapa tuzo wakandarasi waliofanya vizuri miradi ya Peri Urban III Read More »

Uwepo wa TAWA waongeza hadhi ya Tamasha la Kizimkazi – Kikeke

Mtangazaji nguli, na mwandishi wa habari mashuhuri Africa Mashariki na Kati aliyekuwa akitangaza kipindi cha Dira ya Dunia katika Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) ambaye kwasasa anafanya kazi na Redio/TV ya Crown FM/TV iliyopo nchini, Salim Kikeke amesema uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori nchini – TAWA katika Tamasha la Kizimkazi umekuwa chachu

Uwepo wa TAWA waongeza hadhi ya Tamasha la Kizimkazi – Kikeke Read More »

Uongezaji thamani madini ni kipaumbele cha Serikali – Dk.Kiruswa

Naibu Waziri wa Madini, Dk. Kiruswa, amesema Uongezaji Thamani Madini ni moja ya vipaumbele vikuu vya Wizara, ambapo msukumo mkubwa umewekwa kupitia Sera ya Madini ya Mwaka 2009 na kuongeza kwamba, Sheria ya Madini inaelekeza kuhakikisha kuwa madini yanaongezwa thamani ndani ya nchi ili kuongeza manufaa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Dk. Kiruswa  ameyasema

Uongezaji thamani madini ni kipaumbele cha Serikali – Dk.Kiruswa Read More »