Wizara ya Afya hatua za kudhibiti Mpox
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeendelea kujidhatiti katika kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Mpox kwa kutoa vielelezo vyenye jumbe zenye maudhui mbalimbali ya uelimishaji kuhusu ugonjwa huo katika mipaka mbalimbali ya nchi na viwanja vya ndege. Hatua hiyo imeanza kuchukuliwa ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo aliyotoa Waziri wa Afya Jenista Mhagama alipotembelea […]
Wizara ya Afya hatua za kudhibiti Mpox Read More »