Admin

Kamati ya Bunge yaipa kongole Wizara ya Maji ubunifu hatifungani ya Tanga UWASA

Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Jackson Kiswaga Mbunge wa Jimbo la Kalenga Leo Agosti 22,2024 imeendesha kikao chake na kutoa pongezi kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Mejenimenti ya Wizara ya Maji kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (TANGA UWASA) kwa kufanikisha ubunifu na […]

Kamati ya Bunge yaipa kongole Wizara ya Maji ubunifu hatifungani ya Tanga UWASA Read More »

Wizara ya Nishati yashiriki Tamasha la Kizimkazi Zanzibar

Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye kijiji cha kizimkazi wilaya ya Kusini mkoa wa Kusini Kisiwani Zanzibar. Katika tamasha hilo la Kizimkazi Wizara na taasisi zinatoa elimu ya utekelezaji wa Sera ya Nishati ya mwaka 2015 pamoja na kutoa huduma kwa wananchi hususani katila utekelezaji

Wizara ya Nishati yashiriki Tamasha la Kizimkazi Zanzibar Read More »

Timu za Tanzania zaendelea kugawa dozi michuano FEASSSA 2024

TIMU za Tanzania zinazoshiriki michuano ya Shule za Msingi na Sekondari ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) zimeendelea kung’ara kwa kugawa dozi kwa timu pinzani katika michezo mbalimbali inayofanyika Mji wa Mbale nchini Uganda. Michuano hiyo inayofanyika viwanja vya Shule ya Sekondari Bukedea Mjini humo, Agosti 21, 2024, Timu ya Soka ya wasichana

Timu za Tanzania zaendelea kugawa dozi michuano FEASSSA 2024 Read More »

Vijiji vitano vyalipwa bilioni 2 za mrabaha kutokana na uzalishaji dhahabu Nyamongo-Tarime

Waziri wa Madini,Anthony Mavunde ataka fedha zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya kuendeleza mipango ya maendeleo kwa wananchi. Hayo yamebainishwa leo Agosti 20, 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wilayani Tarime mkoani Mara wakati wa hafla fupi ya

Vijiji vitano vyalipwa bilioni 2 za mrabaha kutokana na uzalishaji dhahabu Nyamongo-Tarime Read More »

Wizara ya Madini kuibuka na miradi mikubwa ya kimkakati

Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta ya Madini. Hayo yamebainishwa Agosti 13, 2024 jijini Dodoma na Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini Mhandisi Ramadhan Lwamo wakati akiwasilisha taarifa kuhusu hali ya ulipaji wa fidia kwa wananchi

Wizara ya Madini kuibuka na miradi mikubwa ya kimkakati Read More »