Tuzo ya usiku wa madini 2023 yampa hamasa kuanzisha kampuni
Tuzo ya Mwanamke Bora katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 ilikwenda kwa Mwanadada Leminatha Cornel Kabigumila mama wa Watoto wawili mwenye umri wa miaka 38. Kabla ya kushinda tuzo hiyo, Leminatha alikuwa akimiliki jumla ya leseni 4 za uchimbaji mdogo wa madini ya Bati (Tin) Tuzo hiyo ilimpa hamasa kubwa ya kuwekeza kwenye Sekta ya […]
Tuzo ya usiku wa madini 2023 yampa hamasa kuanzisha kampuni Read More »