Admin

Interview: BRICS provides alternative funding, diplomacy options for developing countries, says expert

BRICS pushes for the establishment of a more just and stable international order based on economic cooperation, political security and cultural exchanges, said Emmanuel Matambo, research director of the Center for Africa-China Studies at the University of Johannesburg. BRICS has provided more funding options to support development in emerging economies and strengthened the voices of […]

Interview: BRICS provides alternative funding, diplomacy options for developing countries, says expert Read More »

Xi underscores BRICS’ role in building multipolar world, driving globalisation

 THE BRICS mechanism is a pillar in promoting a multipolar world and fostering an inclusive economic globalization, said Chinese President Xi Jinping on Tuesday as leaders gathered in Kazan for the 16th BRICS Summit. Xi made the remarks while meeting with Russian President Vladimir Putin ahead of the leaders’ formal meetings. He noted that BRICS

Xi underscores BRICS’ role in building multipolar world, driving globalisation Read More »

NMB inks strategic MoU with UDSM to enhance ICT, digital transformation

NMB Bank has signed a strategic Memorandum of Understanding (MoU) with the University of Dar es Salaam’s College of Information and Communication Technologies (CoICT) geared towards enhancing cooperation in the field of Information Communication Technology (ICT) and digital transformation. As part of the MoU, NMB Bank will leverage on its expertise to support students at

NMB inks strategic MoU with UDSM to enhance ICT, digital transformation Read More »

Dk.Mpango aeleza umuhimu wa Sekta Binafsi kuhusishwa uendelezaji Jotoardhi

Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango amesema Bara la Afrika linapaswa kuunganisha nguvu na kushirikiana ili kuweza kuendeleza ipasavyo nishati ya Jotoardhi ambayo ni safi na endelevu na kuondokana na nishati zisizo safi katika kuzalisha umeme ikiwemo mafuta mazito. Dk.Mpango amesema hayo jijini Dar es Salaam tarehe 23 Oktoba, 2024 wakati akifungua Kongamano la Jotoardhi

Dk.Mpango aeleza umuhimu wa Sekta Binafsi kuhusishwa uendelezaji Jotoardhi Read More »

Dkt. Mpango atoa kongole juhudi za EWURA, maonesho kongamano la Jotoardhi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, leo tarehe 23 Oktoba 2024, ametembelea Maonesho ya Kongamano la 10 la Jotoardhi yanayoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam. Akiwa katika maonesho hayo, Dk. Mpango alikutana na Kaimu Mkurugenzi wa Umeme kutoka Mamlaka ya Udhibiti

Dkt. Mpango atoa kongole juhudi za EWURA, maonesho kongamano la Jotoardhi Read More »

Kongamano la ARGeo-C10 linalenga kuongeza kasi ya uendelezaji Jotoardhi Afrika- Dk. Mataragio

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dk. James Mataragio, amesema kuwa moja ya malengo ya Kongamano la Kimataifa la Jotoardhi (ARGeo-C10) linalofanyika nchini Tanzania ni kuwezesha Afrika kuongeza kasi ya uendelezaji wa rasilimali ya Jotoardhi. Amesema rasilimali ya Jotoardhi ikiendelezwa ipasavyo barani Afrika itaweza kutumika kwa namna mbalimbali ikiwemo kuzalisha umeme pamoja na matumizi

Kongamano la ARGeo-C10 linalenga kuongeza kasi ya uendelezaji Jotoardhi Afrika- Dk. Mataragio Read More »

TBL, Stanbic waanzisha ushirikiano kukuza wafanyabishara wa ndani kupitia GRIT na RISE

Tanzania Breweries Limited (TBL) na Benki ya Stanbic Tanzania wamesaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) ili kuwawezesha wafanyabiashara na wasambazaji wa kitanzania kupitia programu za GRIT (Growing Retailers Innovatively Together) na RISE (Resilient, Inclusive, Sustainable Enterprises). Ushirikiano huu wa kimkakati, unalenga kukuza biashara za ndani, utatoa mafunzo ya kina ya kibiashara, msaada wa kifedha, na ushauri

TBL, Stanbic waanzisha ushirikiano kukuza wafanyabishara wa ndani kupitia GRIT na RISE Read More »

Verified by MonsterInsights