Admin

Watu 8 wafariki ajalini Mwanza

Watu nane wamefariki dunia na wengine 36 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria mali ya Kampuni ya Nyehunge kugongana na basi la Asante Rabi alfajiri ya saa 12 Oktoba 22,2024 katika eneo la Ukiriguru Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa  amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema

Watu 8 wafariki ajalini Mwanza Read More »

Watanzania milioni 26 wajiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa-Mchengerwa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema kufikia Oktoba 19, 2024, Jumla ya watanzania wenye sifa Milioni 26, 769,995 sawa na asilimia 81% wamejiandikisha kwenye daftari la Mpigakura, tayari kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Waziri Mchengerwa ametoa takwimu

Watanzania milioni 26 wajiandikisha kupiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa-Mchengerwa Read More »

Waziri Mavunde azindua magari 25 ya maofisa madini wakazi mikoa

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amezindua magari mapya 25 kwa ajili ya kusambazwa kwenye Ofisi za Maofisa Madini Wakazi wa Mikoa na kuwataka kuhakikisha yanatumika kwa malengo yaliyokusudiwa. Akizungumza kwenye  uzinduzi huo,  Waziri Mavunde amesema magari hayo ni sehemu ya magari 89 na pikipiki 140 yaliyopangwa kununuliwa kama sehemu ya uboreshaji wa  usimamizi wa sekta

Waziri Mavunde azindua magari 25 ya maofisa madini wakazi mikoa Read More »

Kongamano la Kitaifa la Jotoardhi laanza kwa mafanikio Dar es Salaam

Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) limeanza kwa mafanikio jijini Dar es Salaam ambapo Wataalam takriban 800 kutoka 21 duniani wameshiriki. Hayo yameelezwa na Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga wakati akifungua mafunzo kuhusu masuala mbalimbali ya Jotoardhi kwa niaba ya Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu ikiwa

Kongamano la Kitaifa la Jotoardhi laanza kwa mafanikio Dar es Salaam Read More »

Celebrating World Teachers’ Day: Honoring the Heroes of Education

During World Teachers’ Day, we come together to celebrate the invaluable contributions of teachers across the globe. This year’s theme, “The Teachers We Need for the Education We Want: The Global Imperative to Reverse the Teacher Shortage,” emphasizes a challenge that is both critical and urgent ensuring every child has access to quality education guided

Celebrating World Teachers’ Day: Honoring the Heroes of Education Read More »

Verified by MonsterInsights