Kamati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yaja Bara kujifunza Usalama na Afya kazini
KAMATI ya Kudumu ya Utalii, Biashara na Kilimo ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar imetembelea Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) pamoja na baadhi ya viwanda vinavyosimamiwa na OSHA lengo likiwa ni kujifunza mfumo wa usimamizi wa masuala ya usalama na afya kwa upande wa Tanzania Bara ili kushauri maboresho stahiki kwa upande […]
Kamati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar yaja Bara kujifunza Usalama na Afya kazini Read More »