Admin

Kigamboni Residents Celebrate Traditional Cuisine at ‘Coca-Cola Kitaa Food Fest’

Residents of Kigamboni gathered at Geza Ulole on Sunday to indulge in a variety of traditional dishes as part of the ‘Coca-Cola Kitaa Food Fest,’ a campaign designed to promote local food vendors and celebrate Tanzania’s rich culinary heritage. The event, which showcased iconic dishes such as pilau, ugali, rice, fish, dagaa (small dried fish), […]

Kigamboni Residents Celebrate Traditional Cuisine at ‘Coca-Cola Kitaa Food Fest’ Read More »

Afisa Mtendaji Mkuu NMB awafunda Wahitimu ‘Form Four’ Charlotte Sekondari

KUELEKEA mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne itakayofanyika Novemba 11, 2024, wahitimu wa Shule ya Sekondari Charlotte iliyopo Tungi Mkwajuni, Manispaa ya Morogoro, wametakiwa kumtanguliza Mungu, kuwa na nidhamu, bidii, uadilifu na uaminifu, ili kupata mafanikio zaidi kielimu, kimaisha na kiimani. Wito huo umeetolewa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth

Afisa Mtendaji Mkuu NMB awafunda Wahitimu ‘Form Four’ Charlotte Sekondari Read More »

Waziri Mhagama ampongeza Haroon kwa uwekezaji wa hospitali ya Shifaa

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani cha Shifaa na kuahidi kuwa serikali itaendelea kuongeza bajeti ya dawa za saratani kila mwaka kutokana na ongezeko kubwa la wagonjwa wa saratani. Waziri Mhagama aliyasema hayo Ijumaa jioni jijini Dar es Salaam wakati akizindua kituo hicho kilichoko kwenye

Waziri Mhagama ampongeza Haroon kwa uwekezaji wa hospitali ya Shifaa Read More »

UWT ipo na Rais Samia uhamasishaji matumizi ya Nishati Safi ya kupikia- Chatanda

Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UWT), Mary Chatanda amesema  Jumuiya hiyo itaendelea  kuunga mkono juhudi za Rais, Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuhamasisha matumizi ya Nishati safi ya kupikia  kupitia mkakati uliopo wa matumizi ya Nishati safi ya kupikia.  Chatanda ameyasema hayo jijini Dodoma  wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati

UWT ipo na Rais Samia uhamasishaji matumizi ya Nishati Safi ya kupikia- Chatanda Read More »

Verified by MonsterInsights