Wizara ya Maji na Shirika la GIZ la Ujerumani kushirikiana kuzijengea uwezo Taasisi za Maji
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso(Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Shirika la GIZ la Ujerumani kuhusu kuanzisha programu ya kuzinjegea uwezo watumishi na Taasisi za maji kuhusu masuala ya menejimenti na uongozi. Mazungumzo hayo yaliyofanyika makao makuu ya GIZ, Eschborn nchini Ujerumani yanalenga kuendeleza mageuzi ya Sekta ya Maji nchini kuimarisha uwezo wa watumishi […]