Admin

Mabondia wajazwa pesa KnockoutyaMAMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, pamoja na viongozi mbalimbali na mashabiki wa ndondi wakifuatilia mapambano yanayoendelea muda huu kwenye ukumbi wa City Centra Hall Magomeni Jijini Dar Es Salaam. Usiku wa KNOCKOUT YA MAMA utawakutanisha mabondia kutoka nchi za Ghana, Uganda, South African, Tanzania na Angola wanatarajia kuchuana katika usiku huu

Mabondia wajazwa pesa KnockoutyaMAMA Read More »

Biteko aipongeza Wizara Ya Madini kwa mpango wa kuongeza akiba ya dhahabu nchini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko ameipongeza Wizara ya Madini kwa mkakati wanaoutekeleza ambao unawazesha upatikanaji wa akiba ya Dhahabu kupitia Benki Kuu ya Tanzania jambo ambalo ni muhimu kwa maendeleo ya Uchumi wa Tanzania. Hayo yamesemwa jana Oktoba 05 2024 wakati wa ufunguzi wa maonesho ya saba ya

Biteko aipongeza Wizara Ya Madini kwa mpango wa kuongeza akiba ya dhahabu nchini Read More »

Tanzania, Hungary kushirikiana katika kuboresha sekta ya maji nchini

Waziri wa Maji, Juma Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mha. Mwajuma Waziri wamekutana na Balozi wa Hungary mwenye makazi yake Nairobi Kenya Zsolt Meszaros akiwa na ujumbe kutoka Hungary. Kikao hicho kilichofanyika katika ofisi za DAWASA Dar es Salaam kimelenga kupanua wigo wa Mashirikiano na Serikali ya Hungary hususani katika sekta ya Maji.

Tanzania, Hungary kushirikiana katika kuboresha sekta ya maji nchini Read More »

Uwepo wa umeme vijijini uchagiza matumizi ya Nishati safi ya kupikia- Mhagama

Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amesema juhudi za Serikali kupitia Wizara ya Nishati kufikisha umeme hadi maeneo ya Vijijini zinapelekea wananchi kupika kwa kutumia nishati iliyo safi kupitia majiko yanayotumia umeme kidogo. Mhagama ameyasema hayo jijini Dodoma wakati akihamasisha wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi na kuanza kupika kisasa kwa kutumia Nishati Safi

Uwepo wa umeme vijijini uchagiza matumizi ya Nishati safi ya kupikia- Mhagama Read More »

Makandarasi wametakiwa kuwa na uwazi wa thamani za ujenzi wa miradi katika mikataba yao

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi CRB, Mhandisi Joseph Nyamhanga ametoa wito kwa Makandarasi wote kuwa na uwazi wa thamani ya miradi ya ujenzi wanayotekeleza kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zote zinazoongoza shughuli za ujenzi hapa nchini. Ametoa wito huo wakati wa ziara ya Bodi ya Wakurugenzi  na Menejimenti CRB ya kutembelea Mradi

Makandarasi wametakiwa kuwa na uwazi wa thamani za ujenzi wa miradi katika mikataba yao Read More »

DAWASA shirikianeni na Jumuiya za Wananchi kuboresha huduma za maji – Waziri Aweso

Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameielekeza Mamlaka ya  Maji na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kushirikiana na jumuiya za watumia maji katika uboreshaji wa huduma za maji katika jamii kwa kuweka taratibu wezeshi za usimamizi na uendeshaji wa miradi ya jumuiya hizo ili wananchi waweze kupata huduma endelevu. Mhe. Aweso ametoa maelekezo

DAWASA shirikianeni na Jumuiya za Wananchi kuboresha huduma za maji – Waziri Aweso Read More »

NMB yakabidhi madawati, vitanda na magodoro vya mil. 60/- Muheza

Naibu waziri Mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko amewataka wazazi na walezi Nchini kuhakikisha wanalea watoto wao katika misingi iliyo bora ili kupata Taifa bora na viongozi bora wa kesho huku akiipongeza benki ya NMB kwa kushirikiana na serikali kuboresha sekta ya elimu Nchini. Alisema kuwa iwapo watalelewa

NMB yakabidhi madawati, vitanda na magodoro vya mil. 60/- Muheza Read More »

Tatizo la ajira ni kushindwa kwa serikali ya CCM

Chama cha ACT Wazalendo kimetoa wito kwa watanzania kuungana kuilazimisha Serikali kutekeleza wajibu wake katika kushughulikia tatizo la ajira nchini na kuhakikisha Serikali inaondoa mazingira kandamizi kwa watu wanaofanya shughuli zao za kujipatia kipato. Aidha, chama kimewataka vijana na wazazi kutumia uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu ujao 2025 kuiangusha CCM kwa

Tatizo la ajira ni kushindwa kwa serikali ya CCM Read More »

Verified by MonsterInsights