Admin

Ado: Shida ya Maji Kanda ya Ziwa ni Ishara ya Serikali Kupuuza Wananchi

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu ametupia lawama serikali kwa kushindwa kuwahakikishia upatikanaji wa maji wananchi wa kanda ya ziwa licha ya kanda hiyo kuzungukwa na Ziwa Victoria. Ziwa Victoria ni ziwa lapili kwa ukubwa lenye majitamu duniani ambapo limezunguka Nchi kadhaa ikiwa ni pamoja na Tanzania, Kenya, Uganda. Sehemu kubwa ya […]

Ado: Shida ya Maji Kanda ya Ziwa ni Ishara ya Serikali Kupuuza Wananchi Read More »

Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme kimefikia asilimia 50 – Rais Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.  Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea kuimarisha upatikanaji wa umeme nchini ambapo inatekeleza mradi wa ujenzi wa kituo cha kupokea umeme cha Tunduru ambacho utekelezaji wake umefikia asilimia 50. Rais Samia ameyasema hayo leo Septemba 28, 2024 wakati akihitimisha ziara yake mkoani Ruvuma iliyokuwa na lengo

Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme kimefikia asilimia 50 – Rais Samia Read More »

Rais Samia ahutubia zaidi ya wananchi 30,000 waliofurika Uwanja wa Majimaji Songea Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo September 28,2024 amehitimisha Ziara yake ya Kikazi Mkoa wa Ruvuma kwa kuhutubia Maelfu ya Wananchi waliofurika Uwanja wa Majimaji Songea kwenye Mkutano wa hadhara wa kuagana na Wananchi wa Mkoa huo. Rais Dkt. Samia amesema Ziara yake Mkoani humo iliyoanza September 23,2024 imekuwa na

Rais Samia ahutubia zaidi ya wananchi 30,000 waliofurika Uwanja wa Majimaji Songea Ruvuma Read More »

Wakati umefika wa Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya kupikia – Samia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kutoathiri afya na mazingira kutokana na matumizi ya nishati zisizo safi kama kuni na mkaa. Dk. Samia aliyasema hayo Septemba 27, 2024 wakati akizindua Shule ya Sekondari ya

Wakati umefika wa Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya kupikia – Samia Read More »

Benki ya NBC yaipamba Mzizima Derby Zanzibar, yakabidhi tuzo, fedha kwa mchezaji na kocha bora wa Agosti

Zanzibar: Septemba 27, 2024 – Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu ya Soka ya Tanzania Bara, NBC Premiere League jana iliipamba mechi kati ya Azam FC na Simba SC maarufu kama ‘Mzizima Derby’ kwa kuandaa matukio kadhaa ikiwemo kukabidhi zawadi ya tuzo na pesa taslimu kwa mchezaji na kocha bora

Benki ya NBC yaipamba Mzizima Derby Zanzibar, yakabidhi tuzo, fedha kwa mchezaji na kocha bora wa Agosti Read More »

Dk. Kisenge: Ulaji wanga saa chache kabla ya kulala usiku hatari

ULAJI wa vyakula vyenye wanga hasa saa chache kabla ya mtu kwenda kulala, kunatajwa kuwa hatari kwa afya, hususan Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs), ukiwamo ugonjwa wa moyo. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Dk. Peter Kisenge, ameyasema hayo leo, jijini Dar es Salaam, kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani. Siku

Dk. Kisenge: Ulaji wanga saa chache kabla ya kulala usiku hatari Read More »

Verified by MonsterInsights