Dk. Biteko aipongeza Alaf kwa huduma bora
Naibu Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko ameelezea kuridhishwa na huduma na bidhaa za ALAF Limited Tanzania na kuitaka kampuni hiyo iendelee kuzingatia ubora. Biteko aliyasema hayo Jumatano wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo katika Maonyesho ya Kimataifa ya Viwanda (TIMEEXPO 2024) aliyoyafungua rasmi katika Viwanja vya Sabasaba. “Nawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayofanya na pia […]
Dk. Biteko aipongeza Alaf kwa huduma bora Read More »