Admin

Hakimu amuonya wakili wa utetezi kwa kuchelewesha kesi, asema lazima kesi ifike mwisho

HAKIMU Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam Aaron Lyamuya, ameelezea kukerwa na tabia ya wakili wa utetezi kwenye kesi ya jinai, Edward Chuwa kutaka kesi iahirishwe mara kwa mara. “Hivi siyo vitu vya kutengeneza vipo kwenye rekodi za mahakama, hili shauri lazima liishe hatuwezi kuja hapa kila siku tunakaa tu […]

Hakimu amuonya wakili wa utetezi kwa kuchelewesha kesi, asema lazima kesi ifike mwisho Read More »

Zanzibar kuimarisha ushirikiano na kituo cha Utafiiti wa Mboga Mboga Arusha

Ikiwa ni sehemu ya kuimarisha na kuboresha sekta ya kilimo hususani sekta ndogo ya mboga mboga na matunda pamoja na kuongeza usalama wa chakula, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeelezea utayari wake wa kuongeza kasi ya ushirikiano na Kituo cha Utafiti wa Mboga Mboga kilichopo jijini Arusha (World Vegetable Center). Ikiwa ni sehemu ya kuimarisha na

Zanzibar kuimarisha ushirikiano na kituo cha Utafiiti wa Mboga Mboga Arusha Read More »

Kayombo-Jitokezeni kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wapiga kura

MSIMAMIZI wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini John Kayombo ametoa wito kwa wananchi wa jimbo hilo, wenye umri wa miaka 18 na kuendelea, kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kujiandikisha katika daftari la wapiga kura, ambalo litafanyika kuanzia Oktoba 11 hadi Oktoba 20 kwenye vituo vilivyopangwa. Aidha msimamizi huyo amewahamasisha  wananchi wenye sifa za kugombea

Kayombo-Jitokezeni kwa wingi kujiandikisha katika daftari la wapiga kura Read More »

“Tumeridhika thamani ya fedha mradi wa maabara ya kisasa ya kupima ubora wa maji”- Boisafi

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro Patrick Boisafi akiwa ameambatana na wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wametembelea mradi wa Maabara ya kisasa ya kupima ubora wa maji ambao umetekelezwa na wataalamu wa ndani kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa mradi huo mbele

“Tumeridhika thamani ya fedha mradi wa maabara ya kisasa ya kupima ubora wa maji”- Boisafi Read More »

NMB launches the 4th edition of its “Bonge la Mpango” campaigns

NMB Bank has unveiled the latest edition of its “Bonge la Mpango” savings and deposits mobilization campaign, offering participants a chance to win exciting prizes valued at over TZS 150 million. The bank launched the promotion yesterday in Dar es Salaam, where Chief Retail Banking Officer Filbert Mponzi announced that participants will win various prizes,

NMB launches the 4th edition of its “Bonge la Mpango” campaigns Read More »

Mradi wa Maji Kigonsera Mbinga Vijijini kutekelezwa kuongeza upatikanaji maji

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amesema Serikali inatekeleza jumla ya miradi nane ya maji katika Jimbo la Mbinga Vijijini sambamba na iliokamilika kufikia jumla ya Miradi 14 ya kiasi cha Bilion 13.9 ambapo kukamilika kwa miradi yote kutapelekea upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kufikia zaidi ya Asilimia 86.7 Waziri Aweso ameyasema hayo

Mradi wa Maji Kigonsera Mbinga Vijijini kutekelezwa kuongeza upatikanaji maji Read More »

Dk. Biteko azitaka wizara, taasisi na wakala serikalini kutenga bajeti ya kutosha – SHIMIWI

Wizara, Taasisi, Mashirika, wakala za Serikali zimetakiwa kutenga Bajeti ya kutosha kwa ajili ya kushiriki Michezo ya SHIMIWI ili kukidhi malengo na misingi ya kuanzishwa kwa kwa michezo hiyo na kuleta tija. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Dk. Biteko azitaka wizara, taasisi na wakala serikalini kutenga bajeti ya kutosha – SHIMIWI Read More »

Verified by MonsterInsights