Makandarasi wametakiwa kuzingatia misingi na mipango mizuri katika utekelezaji miradi ya ujenziÂ
Makandarasi wameaswa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu zote zinazoongoza shughuli za ujenzi hapa nchini ikiwemo kulipa ada za mwaka za usajili, kusajili miradi ya ujenzi ikiwa ni takwa la kisheria, kuzingatia usalama wa maeneo ya kazi. Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo ya Mipango na Udhibiti wa Miradi ya Ujenzi (Construction Planning, Organisation and Control) yanayofanyika […]