Admin

IWPG successfully hosts the 2024 International Women’s Peace Conference

– Held under the theme “Female Leaders Acting Upon Peace” in Gapyeong, Gyeonggi-do provinceFemale leaders gathering to share peace activity cases and action plans – IWPG Chairwoman Hyun Sook Yoon emphasizes the each individual’s ‘implementation’ of peace Women aspiring for world peace amidst continuous wars and conflict came together to share their experiences of peace […]

IWPG successfully hosts the 2024 International Women’s Peace Conference Read More »

NMB waipiga tafu mashindano ya Kimataifa ya Diplomatic Golf

Benki ya NMB imefanikiwa kukabidhi udhamini wa vifaa vya michezo kwa ajili ya wachezaji 150 wanaotarajia kushiriki mashindano ya kimataifa ya Diplomatic Golf 2024. Michuano hiyo inayotarajia kuanza kutimua vumbi kwa siku mbili kuanzia Septemba 21-22, 2024 katika viwanja vya Kili Golf vilivyoko Mkoani Arusha yana lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia watoto

NMB waipiga tafu mashindano ya Kimataifa ya Diplomatic Golf Read More »

Arejeshewa tabasamu baada ya upasuaji kuondolewa uvimbe wa kilo tano uliomtesa miaka 25

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH), imefafanua saa nne za upasuaji mkubwa aliofanyiwa Kalume Ally Kalume, kumuondoa kilo tano za uvimbe mwilini, ambaye tatizo lake limebainika ni la kuzaliwa nalo. Kadhalika, Kalume ambaye alilazwa hospitalini hapo kwa takribani siku 23, anasubiri kufanyiwa  upasuaji wa pili katika hospitali hiyo, sehemu ya mguuni ambako pia kuna uvimbe. Kalume,

Arejeshewa tabasamu baada ya upasuaji kuondolewa uvimbe wa kilo tano uliomtesa miaka 25 Read More »

Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa kabla ya 2025

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha linatekeleza kwa kasi miradi ya umeme itakayounganisha Mkoa wa Kigoma katika gridi ya Taifa ifikapo mwishoni mwaka huu ili Mkoa huo usitumie umeme unaozalishwa kwa kutumia mafuta mazito. Ametoa agizo hilo tarehe 19 Septemba 2024 mkoani Kigoma

Dkt. Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa kabla ya 2025 Read More »

Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa Nishati Safi ya kupikia

Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia utakaowafanya watanzania zaidi ya asilimia 80 kutumia nishati safi ya kupikia ifikapo 2034. Kapinga aliyasema hayo Septemba 19, 2024 katika Kongamano la wanawake na mabinti mkoani Geita lenye lililokuwa na lengo la kutoa elimu ya nishati safi ya kupikia,  kujadili

Serikali kuendelea kutekeleza mkakati wa Nishati Safi ya kupikia Read More »

Atolewa uvimbe kwenye kizazi wenye gramu 800, ulimtesa kwa miaka 10

Madaktari Bingwa wa Samia Suluhu Hassan wamefanikiwa kumtoa uvimbe kwenye kizazi wenye uzito wa gramu 800 mwanamke mwenye miaka 49 jina limeifadhiwa alioishi nao kwa zaidi ya miaka 10. Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi, Dk. Emmanuel Ngadaya kutoka Hospitali Rufaa ya Kanda ya Kusini aliyeongoza jopo la Madaktari Bingwa

Atolewa uvimbe kwenye kizazi wenye gramu 800, ulimtesa kwa miaka 10 Read More »

Verified by MonsterInsights