Admin

Kariakoo Festival yafunguliwa, NMB yaahidi udhamini mnono zaidi 2025

MDHAMINI Mkuu wa Tamasha la Kariakoo ‘Kariakoo Festival 2024,’ Benki ya NMB, imeahidi maboresho na udhamini mnono zaidi wa tamasha hilo linalofanyika kwa wiki moja katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam kuanzia Jumanne ya Septemba 17 lilipofunguliwa.  Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Dk. Toba Nguvila, ndiye aliyefungua tamasha hilo, linalowakutanisha

Kariakoo Festival yafunguliwa, NMB yaahidi udhamini mnono zaidi 2025 Read More »

Dk. Biteko kuweka jiwe la msingi mradi bwawa kuzalisha umeme Kigoma

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, kesho anatarajia kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme katika Mto Malagarasi, mkoani Kigoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kaimu Mkuu Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Neema Mbuja, kukamilika kwa bwawa hilo kutawezesha kuzalishwa

Dk. Biteko kuweka jiwe la msingi mradi bwawa kuzalisha umeme Kigoma Read More »

Wananchi Tandahimba wafunguka kuwasogezea huduma za kibingwa

Wananchi wa mkoani Mtwara wilaya ya Tandahimba wamshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kuwasogezea Huduma za kibingwa na Bingwa Bobezi karibu na kuwawezesha kutosafiri umbali mrefu kufuata Huduma. Shukrani hizo zimetolewa leo na baadhi ya Wananchi walio jitokeza kupata Huduma kwa madaktari bingwa wa Rais Samia

Wananchi Tandahimba wafunguka kuwasogezea huduma za kibingwa Read More »

Verified by MonsterInsights