Admin

Chinese Mid-Autumn Festival celebrations held across the world

From beautiful lantern decorations to mooncake-making workshops and poetry and song performances, Mid-Autumn Festival celebrations are being held around the world, bringing together people from diverse backgrounds to appreciate traditional Chinese culture. The festival, celebrated annually on the 15th day of the eighth month in the Chinese lunar calendar, falls on Sept. 17 this year. […]

Chinese Mid-Autumn Festival celebrations held across the world Read More »

Tanzania Ladies Open Golf Tournament 2024 yahitimishwa Arusha, NBC yaahidi maboresho zaidi

Mashindano ya siku tatu ya Gofu ya Tanzania Ladies Open Golf Tournament yamehitimswa mwishoni mwa wiki jijini Arusha huku wadhamini wakuu wa mashindano hayo, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakiahidi kuendelea kuyaboresha zaidi mashindano hayo ili kuyoangozea ubora na ushindani utakaowavutia zaidi washiriki kutoka ndani na nje ya nchi. Mashindano hayo ya siku tatu

Tanzania Ladies Open Golf Tournament 2024 yahitimishwa Arusha, NBC yaahidi maboresho zaidi Read More »

Uwekezaji wa Serikali ulete matokeo chanya Sekta ya Afya nchini- Dk. Ngaiza

Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wapatao 64 wa Mama Samia walioanza kambi mkoani Mtwara wametakiwa kuwa chachu ya huduma bora za afya kwa siku zote tano watakazoweka kambi mkoani humo. Madaktari bingwa na Bingwa Bobezi wapatao  64 wa Mama  Samia walioanza kambi mkoani humo wametakiwa kuwa chachu ya huduma bora za afya kwa siku zote

Uwekezaji wa Serikali ulete matokeo chanya Sekta ya Afya nchini- Dk. Ngaiza Read More »

Serikali itumie TFC kumaliza tatizo la bei na usambazaji mbolea nchini

Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kuiwezesha Kampuni ya Taifa ya Mbolea (TFC) kwa mtaji ili kutatua tatizo la ucheleweshaji wa mbolea na uwepo wa mbolea isiyokuwa na ubora na kukabiliana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini. Pia, chama kimeitaka serikali kulipa madeni yote inayodaiwa na kampuni zilizopewa kazi ya kusambaza mbolea ya ruzuku

Serikali itumie TFC kumaliza tatizo la bei na usambazaji mbolea nchini Read More »

Benki ya NMB yapiga jeki Zahanati ya Kijiji cha Ivilikinge Makete

Benki ya NMB imekabidhi vifaatiba ikiwemo vitanda na mashuka katika Zahanati ya Kijiji cha Ivilikinge wilayani Makete mkoani Njombe vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo mwishoni mwa wiki, Kaimu Meneja Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Willy Mponzi amesema benki hiyo kila mwaka imekuwa

Benki ya NMB yapiga jeki Zahanati ya Kijiji cha Ivilikinge Makete Read More »

NMB Bank donates medical supplies worth 9m/- to support health sector development in Makete District

As part of its efforts to boost healthcare service delivery, NMB Bank donated medical equipment including beds and bed sheets to the Ivilikinge Village Dispensary in Makete District, Njombe Region worth 9m/-. Speaking during the handover ceremony held at the weekend, the NMB Bank’s Acting Manager for the Southern Highlands Zone, Willy Mponzi, reiterated the

NMB Bank donates medical supplies worth 9m/- to support health sector development in Makete District Read More »

Kaburi la Chifu wa Wangoni aliyezikwa na wasaidizi wake wawili wakiwa hai kuvutia wageni

WATU zaidi ya 5,000 wanatarajiwa kushiriki katika Tamasha la tatu la utamaduni kitaifa litakalofanyika Septemba 20-23, mwaka huu mkoani Ruvuma. Tamasha hilo litatoa fursa nyingi za biashara kwa wananchi wa Mkoa huo kutokana na shughuli mbalimbali za kiuchumi. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Songea, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro alisema

Kaburi la Chifu wa Wangoni aliyezikwa na wasaidizi wake wawili wakiwa hai kuvutia wageni Read More »

Waziri Ndumbaro atangaza fursa lukuki kwenye tamasha la tatu la utamaduni

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa, Tamasha la tatu la Utamaduni la Kitaifa Songea litatoa fursa lukuki kwa wakazi wa mkoa wa Ruvuma na mikoa ya jirani katika nyanja za kibiashara, bidhaa za asili, vyakula, malazi, usafiri na litaambatana na mafunzo, semina na midahalo mbalimbali kuhusu Sekta za Utamaduni, Sanaa

Waziri Ndumbaro atangaza fursa lukuki kwenye tamasha la tatu la utamaduni Read More »

Verified by MonsterInsights