Admin

Mkurugenzi Benki ya NBC ataja suluhisho uimarishaji huduma ya bima jumuishi nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Bw Theobald Sabi, amesisitiza umuhimu wa teknolojia, elimu kwa umma pamoja na ubia baina ya wadau muhimu wa sekta ya bima ikiwemo serikali, taasisi za fedha na kampuni za mitandao ya simu kama suluhisho muhimu katika kuimarisha na kuchochea kasi ya upatikanaji wa huduma ya bima […]

Mkurugenzi Benki ya NBC ataja suluhisho uimarishaji huduma ya bima jumuishi nchini Read More »

Ado: Tutasimamia ardhi ya wananchi Mafia iliyoporwa na mwekezaji itarejeshwa

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amewaeleza wananchi wa vijiji vya Kata za Ndagoni, Baleni na Kirongwe kwamba chama kitasimama nao ili kukabiliana na jaribio la kuporwa kwa ardhi na mwekezaji kwa msaada wa viongozi wa Wilaya ya Mafia. Ametoa msimamo huo akiwa katika ziara kwenye jimbo la Mafia mkoani Pwani jana

Ado: Tutasimamia ardhi ya wananchi Mafia iliyoporwa na mwekezaji itarejeshwa Read More »