Ado Shaibu ‘amtandika’ maswali matano Dk. NchimbiÂ
Nukuu kutoka katika mkutano wa Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu unaoendelea katika Kata ya Kilindoni Kisiwani Mafia jana Septemba 14, 2024. “Dk. Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM amesema kuwa utekaji unaoendelea nchini haufanywi na vyombo vya dola wala CCM bali genge la watekaji wasioitakia mema CCM. Kauli hii ni kutoka kwa Dk. […]
Ado Shaibu ‘amtandika’ maswali matano Dk. Nchimbi Read More »