Admin

Zitto: Bandari ya Mbamba bay ni bandari ya kimkakati iharakishwe

Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametuma salamu kwa Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa kumtaka afuatilie na kuhakikisha Mradi wa Bandari ya Mbamba bay unakamilika ili kuchochea uchumi wa Ruvuma. “Tumechoka kusikia kila siku mkandarasi yupo site tunataka bandari ikamilike. Tukikamilisha Ujenzi wa Bandari ya Mbamba bay na ijengwe Reli kutoka Bandari ya Mtwara […]

Zitto: Bandari ya Mbamba bay ni bandari ya kimkakati iharakishwe Read More »

Askofu Mdegella aonya matukio ya utekaji, mauaji

Askofu Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Iringa, Prof. Owdenburg Mdegella, amekemea matukio mauaji na utekaji yanayoendelea nchini na kuonya kuwa vitendo hivyo vinaweza kusababisha machafuko katika jamii. Amesema Tanzania inapaswa kujifunza kutoka nchi zilizopitia katika hali hiyo ikiwamo jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ambayo mpaka sasa

Askofu Mdegella aonya matukio ya utekaji, mauaji Read More »

Dkt. Mwigulu aipongeza PPAA kuanzisha Moduli ya kupokea Rufaa Kieletroniki

Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameipongeza Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) kwa kuanzisha moduli ya kuwasilisha rufaa/malalamiko kwa njia ya kieletroniki. Dkt. Mwigulu ametoa pongezi hizo alipotembelea banda la PPAA katika viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), na kusema kuwa anaamini moduli hiyo itaisaidia kupata thamani halisi

Dkt. Mwigulu aipongeza PPAA kuanzisha Moduli ya kupokea Rufaa Kieletroniki Read More »

Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara ya Maji kwa ubunifu wa Hatifungani ya Tanga Uwasa

Kamati ya Kudumu ya Bunge Maji na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wake Jackson Kiswaga imetoa pongezi kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso na Menejimenti ta Wizara ya maji pamoja na kuimwagia sifa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Tanga (TANGA UWASA ) kwa ubunifu na uuzaji wa Hatifungani ya kijani ambayo imewezesha upatikanaji wa

Kamati ya Bunge yaipongeza Wizara ya Maji kwa ubunifu wa Hatifungani ya Tanga Uwasa Read More »

Mahakama kuanza kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya mafundi wa TRA,wakabiliwa na mashtaka 574

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, inatarajia kusikiliza mashahidi 40 na kupokea vielelezo 480 katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili wakazi wanne wa Dar es Salaam, wanaodaiwa kuisababishia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hasara ya Sh milioni 971.7 Washitakiwa hao Frank Kagale, fundi wa mashine za kielektroniki za EFD, Awadhi Mhavile (39) Ally Msesya maarufu kama

Mahakama kuanza kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi dhidi ya mafundi wa TRA,wakabiliwa na mashtaka 574 Read More »

Maonesho ya Siku ya Wakulima wa Miwa, fursa kwa wakulima kunufaika na ubunifu 

Wakulima wa miwa wa Bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024. Maonesho hayo ya siku tatu yanaungwa mkono na Kampuni ya Sukari Kilombero, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wakiwemo; Mfuko

Maonesho ya Siku ya Wakulima wa Miwa, fursa kwa wakulima kunufaika na ubunifu  Read More »